habari ya Pasaka wanajamvi?
Kichwa cha habari chajieleza. Natafuta Mark X au Verosa ambayo itakuwa imetumika kidogo ,bei maelewano .
unaweza ukasema hapahapa au ukani PM
Natanguliza shukrani za dhati .
kiongozi verosa ya 2004 , silva nitakuuzia kwa 14.5 na mark x number c nitakuuzia 22m zaidi 0657145555.
Verossa silver haijatumika namba ni latest 16...u ll never regret buying.
Mie nauza Mark X yangu imetembea kilometa 80,000 ni model ya 2005 ila number ndio za zamani AWZ bei maelewano, km unatenda kuiona Ni PM.