Recent content by domiii

  1. domiii

    Ratiba za kampeni kwa wagombea urais zawanufaisha UKAWA

    Salaam wapendwa, nimefuatilia mwenendo wa kampeni sehemu tofautitofauti unaonesha waziwazi kuwa upinzani unanufaika kwa ushawishi usioweza kulinganishwa na chama tawala... Pia UKAWA kufanya mikutano baada ya CCM kufanya nayo ni advantage nyingine. Mfano kesho CCM wako Mwanza, hapo hapo UKAWA...
  2. domiii

    Taarifa za Habari leo zatawaliwa na wananchi maelfu kuhama toka CCM kwenda CHADEMA

    Tunaaanza kuzunguka next week kumtambulisha mgombea..... Wataisoma mwaka huu
  3. domiii

    Je, ni umri gani unaofaa kuanza kufanya mapenzi?

    Subir kwanza dogo bado... wanakudanganya wakubwa tunafaidi..
  4. domiii

    Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

    Mikwara hyo nikama defence mechanism kwenu ila in reality holaaa...
  5. domiii

    Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

    Hahahaa eti "kishida" hii kitu niliikuta kuleeee migombani..
  6. domiii

    Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

    Wewe utakuwa mtoto wa kichaga.. huwa ni wachovu kweli kitandani japokuwa ni warembo
  7. domiii

    Kwanini mwanamke unasubiri hadi mwanaume akuanze?

    Hahaa miss chagga buana.. eti haamini anafanywa matusi leo.. Lugha za nyumbani hizo!
  8. domiii

    Ikibainika kuwa ni kweli, Mbowe you have to resign

    Mtia nia njoo utoe majina aliyoyataja Zitto
  9. domiii

    Ikibainika kuwa ni kweli, Mbowe you have to resign

    Mbowe ni mpiganaji katika nyanja zote iwe kiuchumi au kisiasa bila kusahau kijamii. Kisiasa amekuwa akipigania masilahi mapana ya nchi kwa kutumia nafasi aliyopewa na wananchi ipasavyo na kwa uaminifu mkubwa hilo liko wazi. Kijamii pia Mh. Mbowe amekuwa akishiriki bila ubaguzi katika masuala...
  10. domiii

    MOSHI MJINI: CCM Jipangeni vizuri ili kuleta mabadiliko ya kweli!!

    Tulia ikuiingie mzee... singida huko ndio watawaelewa!
  11. domiii

    MOSHI MJINI: CCM Jipangeni vizuri ili kuleta mabadiliko ya kweli!!

    Moshi hata tukiwekewa shati na sisiem. Shati litashinda.
  12. domiii

    QFL Mgodoro Dodoma acheni ujinga huo !!

    Afadhali umelizungumzia hili. Linanikera sana lile tangazo.. si nzuri... halifai... Wale wamama wananichefuaga!
  13. domiii

    Afrika ilishaachwa na Mungu tangu kitambo

    Hivi huyu #Yeriko nyerere ameshalipa zile fedha alizotapeli kwa yule kijana aliyeshinda uandishi bora wa kiswahili kwenye mtandao wa twiter?
Back
Top Bottom