QFL Mgodoro Dodoma acheni ujinga huo !!

QFL Mgodoro Dodoma acheni ujinga huo !!

masopakyindi

Platinum Member
Joined
Jul 5, 2011
Posts
18,608
Reaction score
14,552
Kuna tangazo ka QFL Magodoro Dodoma ambalo linanikera!
Magodoro Dodoma wamekuwa wakitoa tangazo hilo lenye kuonyesha jamaa mwenye asili ya uzungu akisema :QFL magodora, serious, MAGODORA?

Na vyombo vya habari vinatangaza advert hiyo bika wasiwasi wowote ule huku wakijua kuwa ni kiswahili chenye mushkeli.

QFL Magodoro Dodoma mna akili finyu, siyo sifa kuona mzungu akikosea matamshi ya kiswahili nanyi mkaendelea kuonyesha matangazo hayo.

Kama quality ya kiswahili ndo hiyo ya huyo mzungu kwenye tangazo, basi hata magodoro yana kasoro.
 
Angerudia tu sehemu hiyo na ktamka vizuri, hataami ameniboa!
 
Nilisema mimi juzi kuwa matangazo yote ya magodoro ni mabovu
 
Naona ama nahisi tangazo gumu la kuanadaa ni tangazo la magodoro....hayavutiii kbsaaa
ila nakumbuka la mwaka 2007 yule bibi anawah kuamka na kukaa nje afu jirani yake nae anapita na baiskel kwenda mishe zake...anampa hai bibi kamwene...mara ugonire.......
Bibi alivyoletewa godoro na binti yake siku hiyo kalala hadi saa nne asubuhi
 
Kulikua na Unazima eat kuwapo MZUNGU?Au kitu Bora lazima Mzungu ahusike?
 
Afadhali umelizungumzia hili. Linanikera sana lile tangazo.. si nzuri... halifai...
Wale wamama wananichefuaga!
 
Mbona nahisi kama kuna kamtandao fulani hivi ka kuharibia hawa jamaa.

Maana Jana au juzi kuna mtu kapost issue ya Matangazo ya Magodoro leo hii mwingine kaja kimtindo mwingine.

Isije kuwa Mlikosa Tender ya kubuni Tangazo mkaona bora muwaharibie humu?

Ni Mtizamo tuu wakuu,maana sie ndio wabongo,fitna tunazijua kuliko nini
 
Pumba.vu sanna hasa wale mashangingi eti kantangaze mb zenyewe 8
 
Back
Top Bottom