Ikibainika kuwa ni kweli, Mbowe you have to resign

Mtia nia

JF-Expert Member
Jun 12, 2015
285
83
Chama chako kimekuwa mstari wa mbele kupinga ufisadi na rushwa nakupongeza sana.

Kwa taarifa iliyopo katika baadhi ya vyombo vya habari ni kuwa na wewe ni kati ya mafisadi wanaotajwa/ kutajwa hadharani kuficha pesa huko ughaibuni.

Hii itakuwa ni hatari kwa chama chetu pendwa juu ya vita dhidi ya ufisadi so tunakuomba ikibainika uondoke na utuachie chama chetu.
 
Chama chako kimekuwa mstari wa mbele kupinga ufisadi na rushwa nakupongeza sana,

kwa taarifa iliyopo katika baadhi ya vyombo vya habari ni kuwa na wewe ni kati ya mafisadi wanaotajwa/ kutajwa hadharani kuficha pesa huko ughaibuni,

hii itakuwa ni hatari kwa chama chetu pendwa juu ya vita dhidi ya ufisadi so tunakuomba ikibainika uondoke na utuachie chama chetu,

Eti taarifa kwenye magazeti. Hebu tuambie walau gazeti moja linalozungumzia hicho unachosema?

Unaamnisha kutunza fedha mahali salama ni kuficha? Hivi kuficha fedha tangu lini ni dhambi au basi kosa kisheria? Wakati wewe unaficha kupitia ama chini ya mchago, mpesa, tigopesa, airtel money, z pesa, banks za hapa nchini wengine wanazificha mahali pengine pia.

Suala la msingi ni kwamba hizo fedha 'unazoficha' kokote kule umezipata namna gani. Mbowe amepambana kutafuta na kupata fedha zake kihalali. Anayo hiyari ya kuzitumia kadri apendavyo na kuzitafutia usalama wa kuzitunza popote anapoweza.

Wenye chama chao uliwaona Septemba 14 mwaka jana? Hao ndiyo wenye chama. Walimchagua na kumpatia Mbowe mamlaka ya kuongoza wanaCHADEMA na Watanzania wengine wapenda mabadiliko kuiondoa CCM na vibaraka wao.

Kazi unayofanya iko kwenye hayo maneno yaliowekewa rangi. Ukijichanganya. Unajifunua wewe ni nani!
 
Chama chako kimekuwa mstari wa mbele kupinga ufisadi na rushwa nakupongeza sana.

Kwa taarifa iliyopo katika baadhi ya vyombo vya habari ni kuwa na wewe ni kati ya mafisadi wanaotajwa/ kutajwa hadharani kuficha pesa huko ughaibuni.

Hii itakuwa ni hatari kwa chama chetu pendwa juu ya vita dhidi ya ufisadi so tunakuomba ikibainika uondoke na utuachie chama chetu.

.... Umevurugwaaaa si bure
 
Subutuu. Chama chake au chenu.
 
Eti taarifa kwenye magazeti. Hebu tuambie walau gazeti moja linalozungumzia hicho unachosema?

Unaamnisha kutunza fedha mahali salama ni kufiha? Hivi kuficha fedha tangu lini ni dhambi au basi kosa kisheria? Wakati wewe unaficha kupitia ama chini ya mchago, mpesa, tigopesa, airtel money, z pesa, banks za hapa nchini wengine wanazificha mahali pengine pia.

Wenye chama chao uliwaona Septemba 14 mwaka jana? Hao ndiyo wenye chama. Walimchagua na kumpatia mamlaka ya kusimamia kuiondoa CCM na vibaraka wao, wanaonuka usaliti hadi wananchi wanawazomea kila waendako.

wapi nimesema magazeti et wewe naye ni msemaji wa chama hata kusoma huoni uanjua vyombo vya habari ni magazeti tu
 
Eti taarifa kwenye magazeti. Hebu tuambie walau gazeti moja linalozungumzia hicho unachosema?

Unaamnisha kutunza fedha mahali salama ni kufiha? Hivi kuficha fedha tangu lini ni dhambi au basi kosa kisheria? Wakati wewe unaficha kupitia ama chini ya mchago, mpesa, tigopesa, airtel money, z pesa, banks za hapa nchini wengine wanazificha mahali pengine pia.

Wenye chama chao uliwaona Septemba 14 mwaka jana? Hao ndiyo wenye chama. Walimchagua na kumpatia mamlaka ya kusimamia kuiondoa CCM na vibaraka wao, wanaonuka usaliti hadi wananchi wanawazomea kila waendako.

Ndio anaekuweka mjini lzma uje mpigia chepuo haraka
 
Eti taarifa kwenye magazeti. Hebu tuambie walau gazeti moja linalozungumzia hicho unachosema?

Unaamnisha kutunza fedha mahali salama ni kuficha? Hivi kuficha fedha tangu lini ni dhambi au basi kosa kisheria? Wakati wewe unaficha kupitia ama chini ya mchago, mpesa, tigopesa, airtel money, z pesa, banks za hapa nchini wengine wanazificha mahali pengine pia.

Suala la msingi ni kwamba hizo fedha 'unazoficha' kokote kule umezipata namna gani. Mbowe amepambana kutafuta na kupata fedha zake kihalali. Anayo hiyari ya kuzitumia kadri apendavyo na kuzitafutia usalama wa kuzitunza popote anapoweza.

Wenye chama chao uliwaona Septemba 14 mwaka jana? Hao ndiyo wenye chama. Walimchagua na kumpatia Mbowe mamlaka ya kuongoza wanaCHADEMA na Watanzania wengine wapenda mabadiliko kuiondoa CCM na vibaraka wao.

Kazi unayofanya iko kwenye hayo maneno yaliowekewa rangi. Ukijichanganya. Unajifunua wewe ni nani!

Kamanda tulia dawa ikuingie vyema....
 
Chama chako kimekuwa mstari wa mbele kupinga ufisadi na rushwa nakupongeza sana.

Kwa taarifa iliyopo katika baadhi ya vyombo vya habari ni kuwa na wewe ni kati ya mafisadi wanaotajwa/ kutajwa hadharani kuficha pesa huko ughaibuni.

Hii itakuwa ni hatari kwa chama chetu pendwa juu ya vita dhidi ya ufisadi so tunakuomba ikibainika uondoke na utuachie chama chetu.
Nani kakudanganya chadema ni chama chenu?Chadema ni saccoss yake full stop
 
ndo maana bado chama hakina hata flemu moja yake kwa ajili ya ofisi.pesa za ruzuku zote zinaishia uswizi
 
Chama chako kimekuwa mstari wa mbele kupinga ufisadi na rushwa nakupongeza sana.

Kwa taarifa iliyopo katika baadhi ya vyombo vya habari ni kuwa na wewe ni kati ya mafisadi wanaotajwa/ kutajwa hadharani kuficha pesa huko ughaibuni.

Hii itakuwa ni hatari kwa chama chetu pendwa juu ya vita dhidi ya ufisadi so tunakuomba ikibainika uondoke na utuachie chama chetu.
Tuambie wewe unamwita fisadi kamuibia nani?
Kwani mafisadi walipo wewe huwaoni?
 
Inasikitisha sana kuona bavicha na bawacha inavyokumbatia uchafu..heri ccm inajulikana imegawanyika Ccm mafisadi na ccm wazalendo
 
kama atabainika inabidi aachie ngazi kama alizipata kihalali angetangaza tu kwamba mimi ninazo nje sio kujificha mbowe hana tofauti na lowasa kwenye pesa
 
Eti taarifa kwenye magazeti. Hebu tuambie walau gazeti moja linalozungumzia hicho unachosema?

Unaamnisha kutunza fedha mahali salama ni kuficha? Hivi kuficha fedha tangu lini ni dhambi au basi kosa kisheria? Wakati wewe unaficha kupitia ama chini ya mchago, mpesa, tigopesa, airtel money, z pesa, banks za hapa nchini wengine wanazificha mahali pengine pia.

Suala la msingi ni kwamba hizo fedha 'unazoficha' kokote kule umezipata namna gani. Mbowe amepambana kutafuta na kupata fedha zake kihalali. Anayo hiyari ya kuzitumia kadri apendavyo na kuzitafutia usalama wa kuzitunza popote anapoweza.

Wenye chama chao uliwaona Septemba 14 mwaka jana? Hao ndiyo wenye chama. Walimchagua na kumpatia Mbowe mamlaka ya kuongoza wanaCHADEMA na Watanzania wengine wapenda mabadiliko kuiondoa CCM na vibaraka wao.

Kazi unayofanya iko kwenye hayo maneno yaliowekewa rangi. Ukijichanganya. Unajifunua wewe ni nani!
Ungesema tu kuwa hana offshore accounts.
Stratergy ya kuzipaka sabuni offshore accounts achana nayo, at least in JF, especially on weekends.
 
Eti taarifa kwenye magazeti. Hebu tuambie walau gazeti moja linalozungumzia hicho unachosema?

Unaamnisha kutunza fedha mahali salama ni kuficha? Hivi kuficha fedha tangu lini ni dhambi au basi kosa kisheria? Wakati wewe unaficha kupitia ama chini ya mchago, mpesa, tigopesa, airtel money, z pesa, banks za hapa nchini wengine wanazificha mahali pengine pia.

Suala la msingi ni kwamba hizo fedha 'unazoficha' kokote kule umezipata namna gani. Mbowe amepambana kutafuta na kupata fedha zake kihalali. Anayo hiyari ya kuzitumia kadri apendavyo na kuzitafutia usalama wa kuzitunza popote anapoweza.

Wenye chama chao uliwaona Septemba 14 mwaka jana? Hao ndiyo wenye chama. Walimchagua na kumpatia Mbowe mamlaka ya kuongoza wanaCHADEMA na Watanzania wengine wapenda mabadiliko kuiondoa CCM na vibaraka wao.

Kazi unayofanya iko kwenye hayo maneno yaliowekewa rangi. Ukijichanganya. Unajifunua wewe ni nani!

Kushawishiwa ndiko kunakomdanganya mtoa post, fisadi ni mtu mwenye mapesa mengi aliyoyapata kwa njia zisizo halali na hususani watumishi wa umma ambao wanachota fedha za umma kwa njia za udanganyifu. Mengi akiwa na mapesa mengi huwezi moja kwa moja ukasema ni fisada bila kutuambia huo ufisadi kamfanyia nani. Mbowe ni mfanya biashara tangu mimi nikiwa kijana. akiwa na fedha nyingi sitashangaa na wala sitaamini kama ni fisafi. Thibitisha ili uisaidie polisi kama una uhakika na unalosema.
 
Mbowe ni mpiganaji katika nyanja zote iwe kiuchumi au kisiasa bila kusahau kijamii.

Kisiasa amekuwa akipigania masilahi mapana ya nchi kwa kutumia nafasi aliyopewa na wananchi ipasavyo na kwa uaminifu mkubwa hilo liko wazi.

Kijamii pia Mh. Mbowe amekuwa akishiriki bila ubaguzi katika masuala ya kijamii. hili halina ubishi watu walio karibu nae tunamuelewa sana.

Kiuchumi ndio usiseme. Kabla hata hajaingia kwenye siasa amekuwa mpiganaji katika kutafuta kwa kufanya biashara kubwa kubwa nchini na nje ya nchi. Pia amewekeza katika vitega uchumi ndani na nje ya nchi. Uzalendo wake unaonekana kwa kuwa angeweza kudeal na biashara zake tu lakini bado amekuwa katika siasa ambayo kiukweli return yake si sawa na uwekezaji wake.

Mwisho. Mbowe kuwa na fedha nje ya nchi si jambo la ajabu kwa kuwa si jana wala leo ameanza business nje ya nchi. Pia uwekezaji nje ya nchi. Mtia nia acha wivu wa kike mbona mimi niko tunisia na nina account huku kwani si ruhusiwi?

Bogus thread.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom