Recent content by DoktorNecha

  1. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Trump: Papa Leo XIV ni dhaifu, simshabikii

    Hapa watapita kimya kimya pia. Hawajui wakae upande upi
  2. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Wakati umepigika kazi gani ya ajabu uliwaza kufanya?

    Mkuu pole sana. Najua wengi wetu umetupa funzo kubwa sana kupitia ww. Nadhan ata story yako inaweza kuwa kipato chako pia kama utaandikia kitabu au kutolewa kama filamu. Sent using Jamii Forums mobile app
  3. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ndani ya JF

    Mkuu ubarikiwe Izo connections za biashara usitusahau na sie basi Sent using Jamii Forums mobile app
  4. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Miaka 10 ndani ya JF

    Duh mi mwenyewe hadi hivi sasa nmesoma hivohivo Sent using Jamii Forums mobile app
  5. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Hii maana yake zoezi la kusajili laini limekuwa gumu

    Nasbiri wanifungie ndo nikasajili wanifungulie. Hapo wasumbuke kidogo sio kula mishahara ya bure.
  6. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Dondoo kuhusu ufadhili wa masomo nje ya Tanzania (Scholarship updates)

    Mkuu habari za majukumu. Hope upo oky. Mm nmevutika sana na hiyo no.3 Naweza kuku pm ili unisaidie kwa ukaribu. Nipo serious ktk hili. Nitangulize shukrani. [emoji120]
  7. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Startimes kuondoa channel za ITV, EATV na Star tv kwenye kisimbusi chao

    Hivi niulize Zile investments walizofanya watu kwenye media wanazipeleka wapi maana sa hivi hawaoneshi chochote Vipi kuhusu walioajiriwa sekta hiyo kwenye hizo kampun binafsi za media mkate wao wataupatia wapi kwa mabadiliko hayo ya ghafla maana sidhan media ka itakubal kuwalipa ilhal...
  8. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Itakucost ukifanya na usipofanya

    Simple and well structured And importantly, full of massive facts Big Ten [emoji119]
  9. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

    Alaf huu uzi murefu jamani Nimekuja na mukasi kuuKATA
  10. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Kwa wapenzi wa Korean Dramas, hii ni thread yako!

    Mhh wakuu humu nawanyanyulia mikono [emoji119] Mnajua kuliko wakorea wenyewe! By the way ngoja niendelee kucheki Dong Yi ...
  11. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna mpinzani atakayekanyaga kwenye serikali yangu

    Japo waskilizaji wengi waliofika pale ni wale wa kuvuka maji
  12. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Hakuna mpinzani atakayekanyaga kwenye serikali yangu

    Tupo mkuu Tunasubir habar zaid
  13. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania JamiiForums yazindua rasmi mradi wa "Tushirikishane"

    Hii safi sana ... Wazo langu hapa haina haja ya kuongeza wingi... Nyinyi wachache mlioanza muendelee kwanza mpaka matunda yaliyopangwa kufikiwa kwa asilimia za kutosha... Kisha kwenye mchakato mwingine ujao waheshimiwa watajileta wenyewe na hapa hawapiti hadi mchujo kwa wenye nia ya kweli ya...
  14. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Cartoon movies

    WALL-E Big Hero 6 Home All creatures big and small The good dinosaur Spirit Stallion of the Cimarron Spited Away Over the hedge Nyingine zimetajwa juu apo Nlizopenda hiz, brave. rango. ice age. despicable me.
  15. DoktorNecha

    JamiiForums Tanzania Describe your ex using movie titles

    Cjui ni Fifty shades of Grey Au 007:The world is not enough
Back
Top Bottom