Recent content by dohope

  1. D

    JamiiForums Tanzania Kilimo cha Mahindi Dakawa

    Dakawa ni sehemu ambayo ni Tambarale kipindi cha masika mvua huwa ni nyingi(hadi afuriko huwa yanakuwepo),nakushauri kwa Dakawa zao litakalofaa ni Mpunga,kama ni Mahindi nenda kata ya Doma,Pemba,Maskati,Kibati,Diongoya,Homboza etc
  2. D

    JamiiForums Tanzania Wadau naombeni tujadili fursa ya kilimo cha Kokoa

    Mimi nipo kwenye huu mkoa wa Morogoro,mkoa uliobarikiwa kuwa na ardhi yenye rutuba inayokubali kila aina ya zao.Kwa kiasi kikubwa mazao mengi sana yanastawi,kuanzia Mahindi,Ndizi,Mihogo,Nyanya,Maharage,Mpunga,Ufuta,Alizeti,Kokoa,yapo mengi ila nimeyataja kwa uchache etc.Nimetembelea Wilaya ya...
  3. D

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Shukrani sana kiongozi
  4. D

    JamiiForums Tanzania Msaada: Kilimo cha zabibu, mahitaji, changamoto na faida zake

    Zabibu haistawi eneo lingine nje Ya dodoma?
  5. D

    JamiiForums Tanzania Mashine ya kukamulia Juice ya Miwa

    Wadau kwa wastani hii mashine ya kukamua juice ya miwa inauzwa Sh ngapi?
  6. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    Aisee sijaingia kwa forum muda mrefu but we are good,tuwasiliane kiongozi
  7. D

    JamiiForums Tanzania Dr Hamis Kigwangala ahoji tatizo la ajira nchini

    Tubadili namna ya kutatua hii changamoto ya ajira kwa vijana wetu,tuwasaidie wawe na uwezo wa kujiajiri zaidi
  8. D

    JamiiForums Tanzania Ni ngumu kupata mtoto

    Labda wamekuadopt??
  9. D

    JamiiForums Tanzania Fursa ya bidhaa ya zao la muhogo kutoka Tanzania kwenda China

    Samahani wadau nasikia wiki 2 zilizopita Tz imeingia makubaliano na serikali ya China kuanzisha kiwanda kitakochokuwa kinaprocess muhogo,hapa nikiri kwamba sina details za kutosha but kwa upande wangu nimeona ni fursa kwa wana JF kuangalia namna gani tuna grab hiyo opportunity.Niombe basi mwenye...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

    hiyo signature yako tu iko mukide
  11. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    Kimambila iko kata ya Lubungo,Wilaya ya Mvomero
  12. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    Ni kitu ambayo naitarajia kuifanya but bado sijawa na pumzi ya kutosha
  13. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    Cha msingi njoo ujionee mwenyewe maeneo yalivyobarikiwa sasa wewe ndio utaamua ulime aina gani ya mazao,but mazao yanastawi ya kila aina,kuanzia Mahindi,Maharage,Alizeti,Nyanya,Ufuta,Viazi vitamu
  14. D

    JamiiForums Tanzania Natafuta patner tufanye kilimo cha umwagiliaji Morogoro

    sorry sikuwa hewani but ni maeneo ya Doma maeneo yapo ya kukodi na kununua kuanzia 50k, sorry sikuwa hewani but ni maeneo ya Doma maeneo yapo ya kukodi na kununua kuanzia 50k,ukiweza nichek 0715850207 tunaweza kwenda kukagua maeneo pamoja
  15. D

    JamiiForums Tanzania Tajirika na Tikiti ungali bado kijana

    Hapo hajazungumzia maandalizi ya shamba, issue ya mbegu, Mfano kuandaa shamba pori gharama ziko hivi kwa ekari 1 Kung'oa visiki na miti 250k Kulima kwa trekta 50k Kupiga hallow 80k Weka mbegu Kusia issue ya dawa Yaani roughly inaweza kufika 700k
Back
Top Bottom