Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Mheshimiwa Rais Dkt. Magufuli something is wrong here!

Nilipo anza kumchukia ni pale ambapo sikumuona kwenye msiba wa wale watoto wa arusha alafu hakua na chochote cha muhim alichokua anafanya nikajiuliza ata mjali nani kama pale hakuenda
Unaposema Hakua na chochote cha muhimu alichokua anafanya, je wewe unaijua ratiba ya shughuli za Rais Ikulu???? Hivi Kama Mtu Huna Cha Kuandika Ni Kwanini Usikae Kimya tu Kuliko Kujitaftia Matatizo. Umchukie au Umpende, JPM ndio Rais wa Tz. Subiri hadi 2015.....
 
haukumpigia kura...siku zote we ni kumsema vibaya... nakushauri Hama nchi na urudi baada ya miaka 8 atakuwa amemaliza mda wake ....hatuwezi kuhudhuria kila msiba..Hapa kazi tuuu
Yaache yajitese mijinfsi yao!
 
Huwa ni kawaida kwa mtu wa design yako!
 
Aisee kauli kali sana hii usipompenda binadamu mwenzio unae muona je Mungu utampenda? No matter what I love you my president 2020 akija mwingine nae nitampenda tu
 
Unaposema Hakua na chochote cha muhimu alichokua anafanya, je wewe unaijua ratiba ya shughuli za Rais Ikulu???? Hivi Kama Mtu Huna Cha Kuandika Ni Kwanini Usikae Kimya tu Kuliko Kujitaftia Matatizo. Umchukie au Umpende, JPM ndio Rais wa Tz. Subiri hadi 2015.....
Hadi 2015 tena?
 
Kwani we anakupenda? Kajambe ulale Na machuki yako inaelekea we ni mpiga deal Na sasa zimefail huna pa kutokea unaendekeza machuki ya kitahira
 
Mheshimiwa Rais wangu Dkt. Magufuli naanza kujiuliza hii tabia yako ni ya Wasukuma kweli hawa hawa ninaowajua au labda mwenzetu Wewe ni Mwana Diaspora wa Taifa jingine ambalo halina utu huu wa Kitanzania uliozoeleka?

Mheshimiwa Rais wangu Dkt. Magufuli hivi una ' matatizo ' gani na Misiba? Mbona Mimi nimeishi miaka mitatu ( 3 ) na ' Wananzengo ' wa Kisukuma kule Nyegezi, Luchelele, Nsumba, Malimbe, Mkolani na Buhongwa lakini tulikuwa ' tunajumuika ' nao sana Misibani na hata Mazishini?
.
huko ni kwenu, lakini pia hata KAGERA KARAGWE NI KWENU KWA MZEE MACHALILA, NA JINA LAKO LA KIHAYA NI KATO (wengi hawajui hii), sasa kama ndo sababu ya kujenga nyumbani anza nyumbani ambapo pako kwenye mipango ya Siku nyingi,
Nina kaswali kadogo tuu kumhusu Kato!, kwa mujibu wa bandiko lako hili, umeonyesha Kato kwao halisi haswa ni Karagwe ,Kagera kwa Mzee Machalila, sasa ilikuwaje akaibukia kule?!. Is he adopted or what?!. Just tell the truth! ,if you don't, some days the truth might come out, the sooner the better, kwa sababu if the truth comes out close to 2020 it won't be a good truth! .

Paskali
 
Back
Top Bottom