Recent content by Doe

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mgombea ubunge TANGA MJINI awatukana watu hovyo hovyo

    Kwani hujui mafisadi wapo wapi, safari hii mtakua wapinzani tu
  2. D

    JamiiForums Tanzania Serikali kwanini isiseme ukweli kama wameuza Loliondo kwa waarabu wa Dubai?

    Ndo ccm tuitakayo anayoisemea Magufuli, hakika ccm ni janga katika taifa hili
  3. D

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri StarTv: Mahojiano Maalum ya Dr. Slaa na Star TV - Tarehe 4 Septemba, 2015

    Heshima yangu kwa dk. Slaa ingekua kubwa sana baada ya maelezo yake kuwa Magufuli ufisadi wake ni kidogo kulinganisha na Lowassa.kwa kuwa kuna wagombea Urais wengine wasio na kashfa basi awashauri watanzania wawacchague hao ni siyo Lowassa na Magufuli hapo ningemuona anachukia rushwa na ufisadi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete ni Masiha

    Mkuu Raia Fulani, wewe unaweza kuwa Nabii ndani ya JF big up kwa kuona mbali
  5. D

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa mbunge wa Sikonge, Said Nkumba abwaga manyanga CCM na kujiunga CHADEMA

    Mpaka huyu, Tanzania kwanza?
  6. D

    JamiiForums Tanzania JF Exclusive: CAG Report on IPTL/Tegeta Escrow Account

    Ni muda sasa umepita toka sakata la uchotwaji wa pesa za Escrow ulipobainishwa na mbunge aliye maliza muda wake Bw. Kafulila, tukashuhudia malumbano ndani ya Bunge ambayo yalitishia uhai wa uwaziri wa Mh. Pinda na mengi yakasemwa. Kuelekea uchaguzi mkuu tungependa kupata ukweli wa Escrow na...
  7. D

    JamiiForums Tanzania Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    katika safari ya mabadiliko ni mara chache sana kufika salama wote.Wengine husariti, hufa,huishiwa uvimilivu na hata kwenda kusuasua,tusikate tamaa maana ukombozi unasuruba nyingi na hizi sehemu yake shima CUF.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Dr. Wilbrod Slaa kesho kuanza rasmi vikao vya chama

    Atafunga vinywa wanafiki wote!
  9. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    1) ukawa
  10. D

    JamiiForums Tanzania Hussen Bashe, muasi ndani ya CCM(?)

    Ni kweli mkuu New Habari chini ya Bashe imekuja na mapinduzi chanya kwa wafanyakazi, mi ni mmoja wa wanufaika wa hayo usemayo, mtu ahukumiwe kwa haki si kwa majungu
  11. D

    JamiiForums Tanzania Hata sura simjui, ananiomba hela

    v hivi vidada njaa ndio inavisumbua vinajitahidi kuweka picha nzuri katika profile zao, ukitaka kujua sio za kwao mwambie muwasiliane FB atumie webcam, skype atazingua tu, kuna kamoja kanaitwa Kwela kamchape kaliniletea hako ka mchezo
  12. D

    JamiiForums Tanzania CCM njiapanda Urais 2015: Kumpitisha Lowassa au chama kumeguka

    CCM si ishakufa siku nyingi, sasa wapoteze mara ngapi, hakuna cha bao la mkono hapa
  13. D

    JamiiForums Tanzania Swahba wa Zito kumvaa Wenje Nyamagana

    Aliyekua Diwani wa kata ya Igoma kwa tiketi ya Chadema Ndugu Adam Chagulani katangaza kugombea Ubunge wa Nyamagana kupitia chama cha ACT - Wazalendo, akitangaza nia yake hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kishiri Wilaya ya Nyamagana, alitupa tuhuma dhidi ya Wenje ya kua hajawahi...
  14. D

    JamiiForums Tanzania Kikwete: Atakaye peperusha bendera ya urais CCM atatokea kwa 'majaji'

    Haya padri wa kutoka CCM sijui atakua tofauti na wa CDM, manake kuna watu walikua busy na Padri wa CDM pekee saizi wameufyata, kunya anye kuku
  15. D

    JamiiForums Tanzania GE2020 Kutoka viwanja vya CCM, Lindi: Membe atangaza nia ya Urais!

    kwa kua na vimada kama yeye ndo heshima
Back
Top Bottom