OgwaluMapesa
JF-Expert Member
- May 24, 2008
- 10,942
- 437
kwenye kura za maoni atashinda. ila dodoma jina halirudi....
Kwani njia ni hiyo hiyo tu?, Lembeli na Bulaya wamefanyaje kwani?
kwenye kura za maoni atashinda. ila dodoma jina halirudi....
Kwani njia ni hiyo hiyo tu?, Lembeli na Bulaya wamefanyaje kwani?
Bashe ana uraia wa kuzaliwa (refer maelezo ya Masha, wakati huo ni waziri wa wizara husika).... Pamoja na ya kamishna wa uhamiaji....
Kabisa...... Ni ujasiri wa hali ya juu..... Wale wote waliojikomba kwa mtoto wa Namba 1 leo hii wanakula neema.... Kama Bashe angetaka hizo neema angezila sana.....
haa haa it will be too late...
https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/856841-hussein-bashe-katika-maandalizi-3.html
Msome Dr HKigwangalla vizuri pengine utanielewa na kuweka akiba ya maneno.Bashe ni bora angejikalia hapo Habari Corporation na u CEO wake atunze fmilia yake akitaka siasa asubiri hadi mwaka 2020.
Mbona sasa kakimbilia Nzenga kijijini? Na ni Bashe huyo huyo anayemsaidia kumchapa Seleli......
Mbona sasa kakimbilia Nzenga kijijini? Na ni Bashe huyo huyo anayemsaidia kumchapa Seleli......
kama wewe ni mtu wa nzega ingekuwa bora sana mkfikiria kuwa na mbunge kutoka chama kingine hata TADEA lakin cyo ccm unakopigania bashe kugombea, mtakuwa wajinga wa mwisho kufikiria kuwaamini ccm tena waendelee kuongoza nzega, ccm ambao walidiriki kusimamia lami ipite mjini nzega wakashindwa kuwathamini lami ije tu hata pale stand achilia mbali faida zingine basi angalau adha ya vumbi ipungue, leo bado mnawaona wanafaa, kama si wehu huu ni nini?? mgodi wa wa lusu umefungwa tyr nzega mji wa zamani tena uko njiapanda hauna shule ya kidato cha 5 na 6, hospital hakuna hakuna kitu chochote cha kusisimua uchumi..halafu senti za bashe zinawatia wazimu mwingine..acheni upumbavvu nyie!Natamani ungekuwa unajua behind the scene Mkuu.... Anyway haya mambo ya siasa yaache tu kaka, kuna mengine utayajua siku chache zikazo...... Ngoja ninyamaze, ila soon utaanza kuelewa...
kama wewe ni mtu wa nzega ingekuwa bora sana mkfikiria kuwa na mbunge kutoka chama kingine hata TADEA lakin cyo ccm unakopigania bashe kugombea, mtakuwa wajinga wa mwisho kufikiria kuwaamini ccm tena waendelee kuongoza nzega, ccm ambao walidiriki kusimamia lami ipite mjini nzega wakashindwa kuwathamini lami ije tu hata pale stand achilia mbali faida zingine basi angalau adha ya vumbi ipungue, leo bado mnawaona wanafaa, kama si wehu huu ni nini?? mgodi wa wa lusu umefungwa tyr nzega mji wa zamani tena uko njiapanda hauna shule ya kidato cha 5 na 6, hospital hakuna hakuna kitu chochote cha kusisimua uchumi..halafu senti za bashe zinawatia wazimu mwingine..acheni upumbavvu nyie!
Natamani ungekuwa unajua behind the scene Mkuu.... Anyway haya mambo ya siasa yaache tu kaka, kuna mengine utayajua siku chache zikazo...... Ngoja ninyamaze, ila soon utaanza kuelewa...
mkuu hayo yote ni kweli asilimia 100... Umenena vyema sana, watu wanapenda sana kufanya siasa uchwara na kuchafua wale wanaoona ni tishio kwao...
unamjua mungu wewe? Acha kumhusisha mungu kwenye ujinga, wala mungu hambariki mzushi, mwenye chuki, asie na adabu,,nk mshaurini bashe wenu atafakari vyema, sababu zilizomtoa 2010 bado zipo hatapitishwa, kilichomtokea aliekuwa anamsapoti kwenye harakati za urais kitamtokea yeye pia..mwambieni u o n g o z i si kufurahisha watu kwa kuwapa fedha au mtaji, chunga sana, sidhani km watu wa nzega na ccm watakuwa wajinga kumpitisha mtu wa hivi..
Nomile
1. Kipindi Bashe anaingia Habari Cop kama CEO alikuta wafanyakazi hawapati mshahara zaidi ya miezi 4 mpaka 5, leo hii ukienda pale utakuta kila mwisho wa mwezi wafanyakazi wanakenua meno....
2. Bashe leo hii kawawezesha wafanyakazi wote bila kujali nafasi zao kupata mikopo ya magari. Leo hii mpaka mhudumu anaendesha verosa au Rav 4. Hata BOT hawawezi kufanya hivyo...
3. Bashe kipindi anaingia kampuni ilikuwa inachapisha Jamana, ila leo hii kafunga mashine mbili mpya kabisa kwa ajili ya uchapishaji na magazeti ya Nipashe yataanza kuchapishwa hapo Sinza kwa muda kabla mashine yao kuwa tayari...
4. Kima cha chini cha mshahara ni 360,000 Tsh. Huyo ni mfagiaji. Unataka afanye nini jamani, kama sio upumb.vu kuongea vitu usivyovijua....
5. Leo hii wafanyakazi wanakopa banki ya CBA. Ni mara ya kwanza tokea Uhuru kwa wafanyakazi wa kampuni hiyo kuwa na uwezo wa kukopa benki...
6. Bashe kafanikiwa kujenga majengo mawili yenye ofisi zaidi ya 26 kwa kipindi kifupi alichokaa pale. Ulitaka afanye nini?
7. Ni kampuni hiyo ndio inaongoza kwa kuwa na waandishi wenye ueledi wa hali ya juu kama Msacky na Kibanda. Unataka afanye nini cha ziada?.
8. Bashe kila ijumaa anatoa sadaka wa wahitaji zaidi ya million 1mpaka 3, kama unataka kuthibitisha ijumaa pita pale Sinza kijiweni ushuhudie foleni. Unataka nini cha ziada?
9. Ni kampuni hiyo inayosomesha zaidi ya wanafunzi 400 Tanzania nzima, wengi wao wakiwa wakazi wa Nzenga wasio na uwezo wa kulipa ada. Unataka afanye nini cha ziada kama sio uji.nga wako na upumba.vu wako...
10. Leo hii Habari cop sio ile ya zamani. Amefanya ukarabati ofisi zote, eneo la nje, ukuta nk....
Utachafua watu wote lakini kamwe huwezi kumchafua Bashe, tena una bahati sana, ukiongea hayo maneno mbele ya vijana walahi utapata kipigo cha milele....
Hamis Kigwangala anamuogopa sana Bashe..Kigwangala alizawadiwa ubunge kwa kujipendekeza kwa rizwani,,Sasa hivi hakuna wa kumbeba ubunge atausikia redioni tu.. Wana nzega wanamtaka Bashe
Jifunze kuifikirisha akili yako kwa upeo mpana, usituonyeshe kuwa una akili size ya kifaranga cha kuku, hufikirii mbali zaidi ya unapoona..tafuta sifa za kiongozi mzuri uwasaidie watu wa nzega kujua kiongozi mzr ni yupi, hata watz wngn..