Aliyekua Diwani wa kata ya Igoma kwa tiketi ya Chadema Ndugu Adam Chagulani katangaza kugombea Ubunge wa Nyamagana kupitia chama cha ACT - Wazalendo, akitangaza nia yake hiyo katika mkutano wa hadhara uliofanyika kata ya Kishiri Wilaya ya Nyamagana, alitupa tuhuma dhidi ya Wenje ya kua hajawahi kuhudhuria vikao vya Baraza la Madiwani toka alipochaguliwa kuwa Mbunge japo huchukua posho kupitia kwa Diwani wa Pamba, Samweli Range, Pia alimtuhumu Wenje kwa matumizi mabaya ya pesa za mfuko wa jimbo. Nimeleta kama alivyosema na picha kama nilivyopiga















