Recent content by dobolo

  1. D

    JamiiForums Tanzania Chopa 5 za UKAWA kuanza kazi rasmi

    wengine pesa sio tatizo kwao,bali wanatafta self actualization
  2. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli serikali haikutaka Katiba Mpya...

    mbunge aliwah kuhojiwa kwann wanataka serikali mbili akajibu mi mwenyewe sijui ila chama chetu kimetaka hivo
  3. D

    JamiiForums Tanzania Kumbe kweli serikali haikutaka Katiba Mpya...

    hii imetokana baada ya kusomwa rasimu ya sitta na chenge,mambo yote 28 yaliyoachwa kutoka kwenye katiba ya warioba ndiyo yaliyokua yakisemwa na J.K wakat akizindua bunge la katiba,sasa najiuliza inamaana hofu iliokua ikielezwa na mkulu basi wabunge wote wameifuata na kufuta mambo muhimu sisi...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Vodacom Tanzania: Support thread (Maswali, malalamiko na Ushauri)

    Vodacom Tanzania naomba kujua ni mtaji kiasi gani kinahitajika kupata lain ya M-PESA
  5. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lowasa kukataliwa Kanda ya Ziwa, Apson Mwang'onda na Tupa wawasili Bukoba kuokoa Jahazi

    nimeona thread zako nying lazma uanze na Lowasa mida flani umekuja unadai katoa laki2 kwa wajumbe,tuna mambo mengi ya kufanya hebu achana na siasa za maji taka,au umeahidiwa u-DC na hao wanaokutumia,bado hatujamaliza mambo ya katba we unataka kututoa kwenye agenda kwa ulafi wako wa kuzawadiwa cheo
  6. D

    JamiiForums Tanzania Baada ya Lowasa kukataliwa Kanda ya Ziwa, Apson Mwang'onda na Tupa wawasili Bukoba kuokoa Jahazi

    We jamaa unaendekeza njaa sana,na watakutumia sana
  7. D

    JamiiForums Tanzania Lowassa agawa Shilingi 200,000/= kwa Wajumbe wa Mkutano Mkuu Taifa (CCM) Mkoani Kagera

    njaa mbaya sana na wewe unatumiwa
  8. D

    JamiiForums Tanzania Siri za Lowassa zavuja Dodoma na Arusha

    njaa mbaya sana,maskini huyu kijana mleta thread kuna watu wamamtumia,mashamba yapo mengi si mkalime kuliko kushabikia wanaume wenzenu
  9. D

    JamiiForums Tanzania Chipset za MediaTek zina tatizo gani?

    subiri watalaam waje wakusaidie
  10. D

    JamiiForums Tanzania Chipset za MediaTek zina tatizo gani?

    nashukuru kaka kwa elim nzuri,vip kuhusu hii tecno mpya waliotoa i.e phantom z
  11. D

    JamiiForums Tanzania Chipset za MediaTek zina tatizo gani?

    Wadau wengi wamekua wakizipondea chipset tajwa hapo juu, sasa mi ni mgeni wa haya mambo ningeomba wadau wanisaidie kubainisha matatizo ya hiz chip.
  12. D

    JamiiForums Tanzania yamoto band waimbe,kunufaika anufaike fella

    jamaa wanaimba ila wanaonufaika wengine kwel bongo ni bongoland
  13. D

    JamiiForums Tanzania Uwezo wa kuongea na nafsi ya marehemu au mtu aliye mbali bila uchawi

    watanzania tuna matatizo,huyu nae anastress za kuachwa na ampendae
  14. D

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli baadhi ya tabia anazoonesha mjamzito huashiria jinsia ya mtoto

    kumekuwapo na njia mbali mbali za kubashiri jinsia ya mtoto alieko ndani ya tumbo la mama mjamzito,baadhi wamekua wakisema eti mimba ikisumbua sana(mjamzito kupata shida mara kwa mara) ujue ni mtoto wa kike, Wengine mjamzito akimchukia mumewe ujue hiyo mimba ni ya mtoto wa kike na mengine mengi...
  15. D

    JamiiForums Tanzania UKAWA wamchenjia Freeman Mbowe...

    we ni b.o.ya lenye kiherehere
Back
Top Bottom