Arushaone
JF-Expert Member
- Mar 31, 2012
- 15,235
- 13,539
Waosha vinywa wa Lumumba mlipotea sana...naona sasa mmerudi tena!!
Wanajitekenya na kucheka tu.
Waosha vinywa wa Lumumba mlipotea sana...naona sasa mmerudi tena!!
Hahaha...ni yale mawazo ya kukurupuka yanavyokuwa magumu kuyatekeleza
alipompigia simu alimpata kwa sida sana". willy gamba kumbe bado anaishi.
wE NI****
chadema sio wa kuaminika kabisa.
Ni baada ya kuchelewa kuwasili katika mkutano wao ulioandaliwa ikiwa ni siku moja baada
ya kususia kikao cha Bunge la Katiba. Mkutano huo ulianza saa 4:18 ukiongozwa na
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahimu Lipumba baadaye wajumbe walianza kuhoji alipo
kiongozi wao Freeman Mbowe.
Aliyekuwa wa kwanza kuhoji alipo Freeman Mbowe ni Profesa Abdallah Safari alisimama na
kuhoji alipo Mbowe hatua ambayo ilizusha minong'ono kwa baadhi ya wajumbe. Ilibidi Prof
Lipumba aanze kumpigia simu Mbowe ndipo akampata kwa shida. Hii inaonyesha alishakimbia
kikao hicho, kwani hata hivyo wajumbe wengi wa kikao hicho walikuwa wanachama na wafuasi
wa CUF na sio CHADEMA.
Mandla.
alipompigia simu alimpata kwa sida sana". willy gamba kumbe bado anaishi.
N:B Viongozi wa chadema hawafai kuaminiwa hata kidogo...
Ni baada ya kuchelewa kuwasili katika mkutano wao ulioandaliwa ikiwa ni siku moja baada
ya kususia kikao cha Bunge la Katiba. Mkutano huo ulianza saa 4:18 ukiongozwa na
Mwenyekiti wa CUF Profesa Ibrahimu Lipumba baadaye wajumbe walianza kuhoji alipo
kiongozi wao Freeman Mbowe.
Aliyekuwa wa kwanza kuhoji alipo Freeman Mbowe ni Profesa Abdallah Safari alisimama na
kuhoji alipo Mbowe hatua ambayo ilizusha minong'ono kwa baadhi ya wajumbe. Ilibidi Prof
Lipumba aanze kumpigia simu Mbowe ndipo akampata kwa shida. Hii inaonyesha alishakimbia
kikao hicho, kwani hata hivyo wajumbe wengi wa kikao hicho walikuwa wanachama na wafuasi
wa CUF na sio CHADEMA.
Mandla.
hahahahahahah... JF ni zaidi ya burudani! hawa wenye kazi Maalumu pale Lumumba huwa wanajisahau sana wakati mwingine...
Thred hii ni uongo kabisa mm ni kati ya wana UKAWA na hadi sasa tupo imara zaidi hakuna kitu hicho.Ahsante.
Yaani wewe mtu asipopokea simu kwa mda kadhaa ndio kakimbia kikao???
Hujawahi kuwa na mambo muhimu kwa wakati mmoja so kila moja ukalitenda kwa mda wake????
Hoja dhaifu unazileta mtoa post
Tangu lini bavicha akawa na akili kwenye hii nchi kazi yenu ni matusi kama anavyofanya lisu mambo mengine hamyawezi kamwe hasa yale yanayohusu ujengaji wa hoja.na wewe tunakudharau,kama tunavowadharau wale CCM waliobaki bunge la Interehamwe peke yao,huku wakishangiria kwa style ya kukata viuno,na watoto wao wanawaangalia kwenye TV Jjinsi mama zao na baba zao walio weledi wa kukata mabuno.