Chipset za MediaTek zina tatizo gani?

Chipset za MediaTek zina tatizo gani?

Poa ngoja nitembelee humoo...tazama release date ya tecno H5 ilikuja after p5

hii release ilikua february km sijakosea wkt huo kitkat bdo hawajafika kwa mediatek.. kwahyo automatic update haipo fanya 2 custom ROM
 
Mdau C6 alinambia custom ROM ya hizi michina inasumbua sana na namuamini maana nikisechi ROM kwajili ya H5 sipati hata xda...my swali is,unawwza nisaidia custom ROM ambayo inaweza suite specifications za tecno H5???
 
Last edited by a moderator:
Then you guys VAN HEIST chief-mkwawa C6 na wengine jee ninyii ni developers wa android apps???coz nahisi ninaa idea ya baadhi ya apps au maboresho katika baadhi ya apps ilaa ndo sijui A wala B...so can we team up tufanye kitu??natoa mawazo nyie mnapima kama yanawezekanika na kama yana faida..can we??

i was on the run lakin kuna mambo yakanitinga nikasitisha... ni vizuri ku team up 2fanye ki2 cha kueleweka... hope we can
 
Last edited by a moderator:
Mdau C6 alinambia custom ROM ya hizi michina inasumbua sana na namuamini maana nikisechi ROM kwajili ya H5 sipati hata xda...my swali is,unawwza nisaidia custom ROM ambayo inaweza suite specifications za tecno H5???

ni kweli rom za hawa watu zinasumbua... ngoja nikutaftie nitakupa feedback.. check hawa jamaa Achilles.blogspot.com wana kitkat themed upgrade kwa ajil ya H5... nkipata nyngne ntakupa... i might be offline 4 about two days ntakua safari utani PM brother
 
Last edited by a moderator:
Nina huawei y300 imepata update, nime update ila mbona sijaona mabadiliko yoyote kama os yake iko vilevile....msaada nahitaji maelezo kidogo kuhusu hili suala.
 
subiri watalaam waje wakusaidie
 
Nina huawei y300 imepata update, nime update ila mbona sijaona mabadiliko yoyote kama os yake iko vilevile....msaada nahitaji maelezo kidogo kuhusu hili suala.

updates sio ziwe major updates kama unaona sijui ui imechange na vitu im ivyo. wakati mwingine kuna minor updates kama vile security fix ambazo wewe huoni kwa macho
 
kitkat inapatikana hapo.. hyo device ulinunua lini??

acha kumpotosha Innocizy kawaida simu za mediatek hazinaga upgrade. kama ni jellybean ndio umeishia hapo hazina updates
 
Last edited by a moderator:
@C6 CHEF-mkwawa na wengine woote msaada tafadhali simu yangu ni samsung gs 5 ya kichina,jana imeniponyoka kwa bahati mbaya ikadondoka sakafuni, nilipoiokata nikaona bado iko on ila kuna mistari imetokea kuanzia juu mpaka chini na kuna mwanga backgound ambayo inasababisha screen kuwa black& white ila iwapo siitumii rangi inatudi kama kawaida nikigusa tu ku unlock ndipo mstari na mwanga huo vinajitokeza, naombeni ushauri wenu enyi manguli wa haya mambo, natanguliza shukrani kwenu.
 
Hapa umeshaua kioo,ni kitambo kidogo tu mstari utaongezeka zaidi,au kioo kitazima jumla.
Au uitumie hivyo milele,hakuna namna kwamba inaweza kaa sawa.
 
Back
Top Bottom