Recent content by doama

  1. doama

    JamiiForums Tanzania Hivi Kariakoo ni kweli kuna Fremu za 3M-5M au ni kutishana tu?

    Zipo mtaa wa Kipata na Swahili pale ni USD 2,000+ wauza hardware na wenye maduka ya dawa ni kuanzia mil 4 kwenda juu. Btw kodi ya milioni 5 inalipika ina maana kama utafungua duka siku 25 kwenye mwezi mmoja, 5,000,0000÷25days= 200,000 kwa siku So kwa siku lazima upate profit ya kuanzia laki 2...
  2. doama

    JamiiForums Tanzania TAWA: Bado tunachunguza tukio la Muwindaji kuua Mamba

    Sheria za Maliasili zinatoa kibali kuwinda mamba mwenye kimo cha zaidi ya mita 3, so kama amezidi hapo mzungu hana kosa na kama ana kibali cha uwindaji na usafirishaji wa nyara kimataifa CITES ambacho kinahusisha viumbe walio hatarini kupotea (Convention on International Trade in Endangered...
  3. doama

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Safari za Kaskazini (Moshi, Arusha)

    Picha mbalimbali za safari za msimu wa sikukuu kwenda Kaskazini Vs mikoa mingine
  4. doama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa walio kwenye ndoa tuu, Mme wangu ni moto

    Imeenda hiyo
  5. doama

    JamiiForums Tanzania Huu mwaka 2023 kuna watu bado wanamsikiliza Issa Shivji?

    Naona kama umempigia chapuo
  6. doama

    JamiiForums Tanzania Tanzania yaongoza Afrika kwa kuwa na asilimia chache ya raia wake ambao ni diaspora

    Yani uchawi upo tusikatae tunalogana wenyewe kwa wenyewe
  7. doama

    JamiiForums Tanzania Nikiweka fixed deposit 10M naweza kulipwa kiasi gani na bank kila mwezi?

    Matajiri wenye pesa nyingi ndo wana-park pesa zao huko UTT ama ama bond za BOT. Sisi wengine tunaona hasara tu kuweka pesa huko
  8. doama

    JamiiForums Tanzania Nataka kusoma Clinical Medicine. Je, hali ya ajira ikoje?

    Epuka kuendelea na mwandiko wako wa kuweka x badala ya s, xana(sana), lakin(lakini) sielew(sielewi) Course ya CO itumike kama daraja to MD, ajira hazijawahi kukosekana. Ila pia kama unaweza kusoma course za Engineering (Civil, Architec) zina wigo mpana pia kwenye kuingiza kipato
  9. doama

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanaume akizama kwenye dimbwi la mapenzi anakuwa na tabia gani?

    Una hamu ya kuumizwa, kama mtu anakupenda angekua ameshaachana nae, hao wanaishi pamoja ni bado wanapendana, anataka uwe nyumba ndogo
  10. doama

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Kariakoo ni kugoma kusajili maghala yanayoshukiwa kujaa mali zilizoingia isivyo halali

    Nachoona hapa pia mbona bidhaa hiyo moja ushaanza kuchukua kodi yake bandarini bado ikifika dukani uchukue tena, kama umemuuzia mtu wa mkoani naye kule analipia tena kodi, mlaji ambaye ni yule mtu wa mwisho anaipata kwa gharama kubwa sana inakua hajasaidiwa ila kama anakomolewa. Mfumuko wa bei...
  11. doama

    JamiiForums Tanzania Serikali ianzishe "Maafisa Kodi wa Kata" na TRA ianzishe "mawakala" wa TRA

    Dah mzigo mmoja kodi 3 bado hujaufikisha dukani
  12. doama

    JamiiForums Tanzania Utekelezaji wa ukusanyaji wa kodi ya majengo kupitia mita za luku

    Kama ghorofa lina Floor kumi ni 60,000x10=600,000 Kama floor 1 ni 60,000x2=120,000
  13. doama

    JamiiForums Tanzania Wasabato mna siri gani? Hii ni extraordinary

    Hata KKKT wanajitahidi pia
  14. doama

    JamiiForums Tanzania Dalai Lama aomba msamaha baada ya video akimuomba mvulana amnyonye ulimi kusambaa

    https://tricycle.org/article/homosexuality-marriage-and-religion-tibet-endlessly-complicated-situation/ Hawa jamaa tangu 2009 wamekua hivi? Kwa sasa watakua mbali sana idadi ya LGBTQ itakua imeshoot sana
Back
Top Bottom