Wasabato mna siri gani? Hii ni extraordinary

Wasabato mna siri gani? Hii ni extraordinary

Wakuu kwema? Naombeni leo wajuzi mnijuze hawa jamaa wana siri gani? Kiwango chao cha uimbaji ni extraordinary. Nimesikiliza sauti hizi mpaka nikafumba macho kwa utamu.

Nini siri ya hawa jamaa?

Nijulisheni nikaitumie kwenye kwaya yetu.
Wataalamu Sana wa Akapela style (Kuimba bila vyombo vya mziki)
 
Hata KKKT wanajitahidi pia
 
Investment kwenye jambo husika (although sijui kama research yako ipo valid kwamba wasabato ndio wanaongoza kwenye gospel)

Kwani unadhani siri ya kina Diamond, Snoop, Dr Dre, Madonna n.k. ni ipi ? (pamoja na kipaji ni kukifanyia kazi kipaji hicho) hata ukicheki kina Beyonce, Whitney n.k. walianzia kwenye Gospel huko ndio walipewa platform ya kufanya yao..... Hata mtaalamu Peter Tosh alijifunzia vyombo huko kabla ya kuwafundisha kina Nester Marley (Bob) Ingawa baadae alisema...

"shitstem." In an interview Tosh once said "…Our people have been divided for years under this shituational, religionistic, trickological bullshit. But it’s through the generations that we have to be observers, see what’s goin’ on to learn how to diagnose the symptoms to extract the disease and the germs from out of it, ‘cause so much things going on in the world." Tosh believed that it was crucial to be aware of your surroundings and not to be complacent about the way that the system has oppressed you.
 
Ushawahi kuwasikiliza wakatoliki au umejiandikia tu!! Wale jamaa ni another level katika mziki wa injili.,,,katafute kazi za kwaya ya mtakatifu fransis wa asizi,,,then tafuta kwaya ya Makuburi alafu usipobadili maneno yako nakupa laki
 
Ushawahi kuwasikiliza wakatoliki au umejiandikia tu!! Wale jamaa ni another level katika mziki wa injili.,,,katafute kazi za kwaya ya mtakatifu fransis wa asizi,,,then tafuta kwaya ya Makuburi alafu usipobadili maneno yako nakupa
 
Nimeshasema wakatoliki kwenye uchezaji wa vyombo wa muziki na usomaji wa staff notation na tonic solfa hakuna anaye fikia, ila kwa uimbaji mzuri wasabato wanatisha sana. Unawajua Ambassadors of Christ?
 
Ushawahi kuwasikiliza wakatoliki au umejiandikia tu!! Wale jamaa ni another level katika mziki wa injili.,,,katafute kazi za kwaya ya mtakatifu fransis wa asizi,,,then tafuta kwaya ya Makuburi alafu usipobadili maneno yako nakupa
Katika ukristo hakuna wa kuwafikia wasabato , kawaulize wakatoliki wenzako
 
Wakuu kwema? Naombeni leo wajuzi mnijuze hawa jamaa wana siri gani? Kiwango chao cha uimbaji ni extraordinary. Nimesikiliza sauti hizi mpaka nikafumba macho kwa utamu.

Nini siri ya hawa jamaa?

Nijulisheni nikaitumie kwenye kwaya yetu.
Wanaume kazi kuangalia mauno tu yanavio zungushwa
 
Ushawahi kuwasikiliza wakatoliki au umejiandikia tu!! Wale jamaa ni another level katika mziki wa injili.,,,katafute kazi za kwaya ya mtakatifu fransis wa asizi,,,then tafuta kwaya ya Makuburi alafu usipobadili maneno yako nakupa
Tofauti na vinanda vyenu, wakatoliki hamna jipya mbele ya wasabato. Wale jamaa wanaweza kukiwasha "acapella" na mkatafutana!

[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Back
Top Bottom