Kama kweli makonda kafanya hivo ni aibu kwake na wazazi waliomlea.umri wa warioba kupigwa na makonda ni laana.kama ccm ina faida kwake asilazimishe wengine wapende mawazo yao yasiyo na faida kwao.pole sana mzee warioba.hii ndiyo tz ya jk wa pili na siyo tz ya jk wa kwanza.
Kama ccm wataondoka madarakani nitafanya sherehe maskani.ila bado napata wacwac na hilo kwani vijana wengi hua hawajiandikishi wala kuoiga kura.elimu ipite kwa vijana.ccm tayari wamelegea wanasubiri kutekenywa waachie.
Hawa wazee wa droo noma.walianza chemka wwlivomtimua mzee kibadeni.alianza vizuri kuiandaa timu ya msimu huu wao wakawa na haraka.sasa wameanza kusimamisha wachezaji,wakimaliza wanawasimamisha viongozi wanachama wanaanza panga timu.poleni simba wenzangu.
Poleni watz.katiba kama imepita bungeni,kwa wananchi itapita pia.jamaa wakisha wapa mama zetu vitenge na vijana kofia wanaipitisha bila zengwe.muhimu tafuta maisha na c kutegemea ccm na ukawa kukuletea maendeleo wakati nao wanawatoto wanaowaangalia.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.