Peter Kibatala: Rasimu ya Warioba ni Sheria

Tanzania kila mwenye uwezo wa kutumia mtandao anakuwa msomi! Lahasha kutafsiri sheria ni zaid ya kuwa msomi.
Hiv tunaopiga upatu kuwa rasimu ya 3 ni nzur tumeangalia nin?,uzur wa katiba si uwingi wa mambo na si kusa kila jambo tu bali namna gani inawaelekeza viongoz miiko na maadili namna ya kufikia mambo hayo machache au mengi.katiba pendekez imekosa hofu ya viongozi kutoka kwa wananchi kwa maana hiyo tutegemee mabadiliko chanya kidogo au yasiwepo kabisa.
Mkuu,
Mada hii haihusiani na uzuri au ubaya wa Rasimu bali issue ni kwamba Rasimu ya Warioba ni Sheria au la!
 
Unajua watanzania atuna uwezo wa kuongea yanayo tuuma nandio mahana tunaishia kurumba f nipese ngapi zimetumika kupata rasimu ya wananchi wakati hiliwezekana kabisa kuandikia bungeni hinamahanisha watanzani awana akiri turikuwa tunapimwa tuna nn kichwani lakini tayar tanzania himepata hufa kwajir ya masirai ya wachache katiba ni maliziano si malumbano ataww uliyeleta kamada haka hunaona unaweza lakini ujui niatari sana kuzarau wananchi watanzania mungu atusaidie,
Hicho Kiswahili ulichoandika kinakutambulisha mawazo yako yalivyo!
 
Hawa wanajitoaga ufahamu, si yeye tu mpaka wenye Phd!
Mahakama yenyewe ambako UKAWA walikimbilia imeshatutafsiria kwamba Rasimu ya Warioba ni "WORKING DOCUMENT," sio Sheria, sasa wana-UKAWA mbona mnakuwa na vichwa vigumu kiasi hicho? Au mnafikiri kila Document ya Kisheria ni SHERIA?
CHADEMA wamepoteza wanasheria makini kwa mtindo huu aisee!
 
Jaji Warioba na wenzake waliitwa kwenye Karamu ya Bwana. Wakaitika wito, wakaenda, wakafanya yaale waliyoambiwa wayafanye. Wakamaliza kazi yao kwa wakati uliopangwa, wakarudi kwa Bwana na kusema: Bwana utubariki. Tumemaliza kazi uliyotutuma.

Bwana akakabidhiwa kazi. Akaita Karamu ya Pili. Akawakabidhi kazi walioitwa kwa mara ya pili kwenye Karamu hiyo.

Hawa walikula vinono vingi na kusaza. Waliwewa mvinyo uliochujwa sana, hata wakazirai. Wakalewa sana, wakaanza kejeli kwa Bwana.

Bwana akawatuma watumwa wake kuwauliza wale Makutano wa Karamu ya Pili kuhusu majibu ya kazi yao. Wakasema tumemaliza kazi lakini kwa MPANGO WETU! Usitusumbue. Wakawakamata wale watumwa kisha wengine wakawachapa bakora na kuwafukuza, wengine wakawakamata na kuwapiga na kuwatupa jela, wengine waliobaki wakawawaua!

Sasa tutasubiri Hatima ya Bwana!
 
Usiingilie uhuru wa mahakama, kesi haijaisha...
 
Tanzania kila mwenye uwezo wa kutumia mtandao anakuwa msomi! Lahasha kutafsiri sheria ni zaid ya kuwa msomi.
Hiv tunaopiga upatu kuwa rasimu ya 3 ni nzur tumeangalia nin?,uzur wa katiba si uwingi wa mambo na si kusa kila jambo tu bali namna gani inawaelekeza viongoz miiko na maadili namna ya kufikia mambo hayo machache au mengi.katiba pendekez imekosa hofu ya viongozi kutoka kwa wananchi kwa maana hiyo tutegemee mabadiliko chanya kidogo au yasiwepo kabisa.
Inashangaza mno katiba kuweka mambo ya kisanii na kuacha uwajibikaji wa viongozi. Ee Mungu utuhurumie. Amen.
 
Jaji Warioba na wenzake waliitwa kwenye Karamu ya Bwana. Wakaitika wito, wakaenda, wakafanya yaale waliyoambiwa wayafanye. Wakamaliza kazi yao kwa wakati uliopangwa, wakarudi kwa Bwana na kusema: Bwana utubariki. Tumemaliza kazi uliyotutuma.

Bwana akakabidhiwa kazi. Akaita Karamu ya Pili. Akawakabidhi kazi walioitwa kwa mara ya pili kwenye Karamu hiyo.

Hawa walikula vinono vingi na kusaza. Waliwewa mvinyo uliochujwa sana, hata wakazirai. Wakalewa sana, wakaanza kejeli kwa Bwana.

Bwana akawatuma watumwa wake kuwauliza wale Makutano wa Karamu ya Pili kuhusu majibu ya kazi yao. Wakasema tumemaliza kazi lakini kwa MPANGO WETU! Usitusumbue. Wakawakamata wale watumwa kisha wengine wakawachapa bakora na kuwafukuza, wengine wakawakamata na kuwapiga na kuwatupa jela, wengine waliobaki wakawawaua!

Sasa tutasubiri Hatima ya Bwana!
Mkuu, hakuna Hatima ya Bwana hapa kwani kisha anza kampeni ya kura ya NDIYO.
 
Back
Top Bottom