Recent content by dkashombo2013

  1. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Mbona inapatikana tu vizuri
  2. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania JamiiForums Usiku wa manane

    Yaan hapa tangia saa 9.00 nakula wwe survivor series very amizing ni live event
  3. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania huwai y3,haitumi signal kwenye tv.

    Km hiyo simu ulii update huwa inatokea unapo udate features nyingine huwa zina fail km sababu ni hiyo hapo mpaka ipate update ya ku fix hiyo issue
  4. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania huwai y3,haitumi signal kwenye tv.

    Hapo mwanzoni ulikuwa unafanyaje ili ikubali ninachojua simu laziwe iwe miracast,screen share au screen mirroring enabled same na tv yako iwe na hizo option hapo ni wireless au simu iwe ina support MHL to HDMI
  5. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Duh huku kwetu used yapo kibao unapata hata kwa 150k dish zuri kiroho safi
  6. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

    Hapo upo kwenye signal yake kabisa jaribu kupandisha signal strength hiyo sky sport isome hata 80 hapo sport 24 itaingia bila shida ila km unatumia dish 6ft inabidi liwe orginal na lina vipimo kamili make mengine yanapunua ft6
  7. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Jihadhari na simu za mitandao ya Kikorea, China na Marekani

    Je zinazoana na SM
  8. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Sioni ubaya kwa serikali kuelekeza baadhi ya fedha za maafa kwenye taasisi nyingine za kiserikali

    Watu mnatushangaza mnaposema zimeelekezwa kuimarisha miundo mbinu huo uimarshaji gani familia maskini za watoto,wazee wanalala nje kwenye mahema wakati huu wa majira ya mvua na baridi kali iweje hamna hata familia moja ilosaidiwa km tusiite dhuluma ni nini tusitete bana watu wanashida
  9. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Fox hiyo
  10. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania 2016 US Election Results: Donald Trump has won the presidency

    Clinton kapanda kidogo 215
  11. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa kuagiza magari befoward

    Ushuru wake ni huo
  12. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa kuagiza magari befoward

    Nafikiri ni hy ni toleo la 2000 sio 2007 cif yake to dar ni $1713
  13. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa kuagiza magari befoward

    BE FORWARD : 2000 TOYOTA Nadia
  14. dkashombo2013

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa kuagiza magari befoward

    Au hapo ktk web yao calculate upya destination country chagua Tanzania port chagua dar ess salaam hapo utajua pamoja na shipping ni dollar ngapi kuhusu ushuru wake unaweza kuingia calculator ya tra ukaweka details za gari utaweza pia kujua ushuru wake
Back
Top Bottom