Nionavyo mimi ukimya wa muda mrefu huweza kumfanya mtu kusahaulika na kupoteza mvuto kwa jamii. Dr asijipe likizo ndefu sana ni vizuri awajibike kwa jamii na kutoa msimamo wake na maelekezo sahihi ili uma wa watanzania ufaidike na busara zake zinazohitajika sana katika taifa letu kwa sasa. Hapo...
Huyu Sumaye ni mroho wa madaraka. Ana dual role ukawa. Amesema kuondoka kwake kunaiimarisha ccm. Role ya kwanza ni kuusambaratisha ukawa. Kumbuka kikulacho ki nguoni mwako. Ndio amekuja nguoni mwa ukawa. Role ya pili labda ni hiyo ya fisi kuufuatilua mkono wa binadamu udondoke aule. Very pathetic.
kwani mshahara wenyewe ni shilingi ngapi. labda ni kima cha chini. na sikukuu hizi za mwisho wa mwaka. huo ndio uhalisia wa maisha ya mtanzania. mengine ni maigizo (usanii).
lipia na hewa basi si ni muhimu zaidi. maana bila hewa wewe haupo. vitu muhimu ni rahisi au bure, vya anasa ni ghali. ni vizuri kuwaza kwa ajili ya watanzania wote na kwa wakati wote. sio kuwaza kwa ajili yako tu na kwa uwezo ulio nao sasa. kesho hujui hata mafuta ya taa kwa koroboi...
Iwekwe sheria bungeni kwamba ili hoja/muswada i/upite ni lazima kuungwa mkono na theluthi mbili ya wabunge wa upinzani. Kwa namna hii ukiritimba wa chama chenye wabunge wengi utaisha na kuheshimiana kutakuwepo
Mbona tunakuwa wazito wa kuelewa au tunajaribu kuukana ukweli kwa hofu. Zitto ni janga la taifa. Anatumiwa na hao wachoma makanisa. Huoni wanavyomfanyia reference kila wakileta dhana zao za 'kuonewa'? Mie naomba great thinkers tuipotezee hii issue ya zitto inalenga kuvuruga amani ya nchi kwa...
wakati wagombea wote watarajiwa kwa vyama vyote wanalengwa kuwa wai....... mpaka 2025 wameshajipanga. Ndivyo ninavyosoma mwelekeo. Kazi ya ziada inahitajika kufuta ubaguzi wa kidini unaosimikwa na wenzetu wasiopenda religious co-existence in harmony ila wao wanataka kumbadilisha kwa lazima na...
Nakubaliana na wewe. Upinzani hauwezi kuleta mabadiliko ndani ya serikali ya chama tawala. Serikali itahakikisha maendeleo hayapatikani kwenye majimbo yaliyoshikwa na upinzani. Angalia jimbo la ubungo wananchi wanalalamika hakuna maendeleo. Itabidi kazi kubwa ifanyike kuuelimisha umma juu ya...
Kwa mtazamo wangu wa sasa (maana hapo mwanzoni Zito nilimwona tofauti (mtu makini)) namwona Zito ni dhaifu. Anafuata hisia zilezile za kupendwa kwa sura na kwa haraka haraka anaonyesha nia ya kuwa rais. Ajue kwamba watanzania wanateseka sasa hivi kwa dhambi yao ya kupenda ghafla na pasipo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.