idawa
JF-Expert Member
- Jan 20, 2012
- 25,300
- 38,450
Usiwe kama mgeni na jf, usikute unaemubishia ndio kinana mwenyewe.!!mkuu kwani upo kwenye vichwa vyao hizi akili zingine vipi mbona unawasemea.
Usiwe kama mgeni na jf, usikute unaemubishia ndio kinana mwenyewe.!!mkuu kwani upo kwenye vichwa vyao hizi akili zingine vipi mbona unawasemea.
KUNA MENGINE ZAIDI YA HAYO HAPO JUU:...NATABIRI lakini msiniite mchawi.......hii katiba mpya itakuwa na mgogoro sana kabla ya uchaguzi wa 2015......pia natabiri kama jamaa watakuja na hoja hizo hapo juu wananchi wataikataa katiba mpya!!! ni utabiri tu!
soma gazeti la mwananchi la leoKwani msimamo wa chadema night upi? Wanataka serikali ngapi? Viti maalum vowepo au la? Maana naona viongozi wamekaa kimya...
Serikali Moja tu
Mimi kwa hili sitaki ushabiki wa vyama.Nataka nijue kwamba hivi ni kwa nini kama tunataka muungano tusiwe na serikali moja? Hebu fikiri;
1.Tuwe na wabunge wa tannganyika kila jimbo wawili (mwanamke na mwanaume)
2.Tuwe na wabunge wawili kwa kila jimbo la Znbar (mwanamke na mwanaume)
3.Tuwe na wabunge wawili wamuungano kutokata Tanganyika (mwanaume na mwanamke)
4. wabunge wawili wa muungano kutoka zanzbar (mwanamke na mwanaume)
5 mawaziri wa tanganyika na manaibu wao
6.Mawaziri wa zanzbar na manaibu wao
7.Mawaziri wa muungano na manaibu wao
8.Ikulu ya tanganyika
9.Ikulu ya zanzbar
10.Ikulu ya muungano
11.Uchaguzi wa Tanganyika, wa Zanzbar na wa Muungano.
Hivi gharama zote hizi ni kwa maslahi ya nani?Kwa nini tusiwe na serikali moja kama tunataka muungano! Tafakari.
Leo kamati kuu ya CCM inakutana kuijadili rasimu ya katiba. Baada ya kikao hicho tutarajie yafuatayo kuwa ndio maoni yao ya CCM
1)kupinga muundo wa serikali tatu na kupendekeza tuendelee na serikali mbili
2)kupinga matokeo ya urais kupingwa mahakamani
3)kupinga kufutwa kwa viti maalum
4)Tuendelee kuorodhesha na kujadiliana mapendekezo yote ambayo kuna uwezekana wa CCM kuyakataa, naomba kuwakilisha jamvini!
Na hicho ndo ninachotaka.Hii kitu ya serikali 3 nina wasiwasi itamwacha Rais wa muungano kwenye mataa kama vile Gobachev na Perestroika yake!!!