Nilikuwa nasafiri siku moja kutoka Dar kwenda mbeya kwa Basi la Kampuni moja hivi.(Naomba nisitaje hiyo Kampuni).Kutoka kituo kikuu cha Mabasi Ubungo mwendo ulikuwa mzuri kabisa. Nasema mzuri kwa sababu ulikuwa ndani ya Kilometa 80 kwa saa.
Nilifurahi sana kwa sababu mimi ni muoga sana wa...
nimependa ulivyochambua hili tukio.
katika eneo ulilolipa (2) umeeleza kuwa marehemu ndiye aliyekuwa mshari,lakini msingi wako mkuu kwa kusema hivyo ni kwa sababu alimfuata nje na kumrudisha ndani kwa ajili ya mahojiano. sidhani kama kumfuata mtu unaemtilia shaka juu ya jambo fulani na kutaka...
atigi,kwanza habari yako. Mimi huwa napenda kuwa muwazi kwa sababu ni njia nzuri tu ya kumsaidia mtu. niombe samahani in advance kwa wale nitakao kuwa nimewakwaza. Naomba mnielimishe kwani nami napenda kujifunza.sina uhakika kama nitakuwa nimechelewa au la. Hoja zako umezigawa sehemu nne nami...
bht umeji- mislead, madaktari watakataa kama watakuona kuwa una uwezo wa kwenda kuchukua hiyo PF 3 na hujafanya hivyo. na sio wanakataa, hapana. wanatia shaka juu ya kuumia kwako. jaribu kufikiria ajali ya majeruhi zaidi ya 20 walio na hali mbaya, uzoefu unaonyesha kuwa wanatibiwa kwanza PF 2...
Mizizi naona umejisahau.kifupi haya ni madhara ya wakina dada au kina kaka kugawa namba za simu kwa kila anayeomba. unapotoa namba ya simu utegemee kupigiwa.KAMA UPO SINGLE haina tabu.ukiwa kicheche saaaana utakula na kuku aliyetiwa sumu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.