Lulu kamtaja Ali Kiba ndiye aliyempa lift baada ya ugomvi wake na Kanumba

kuna kosa kutoa lifti jamani hususan kwa mpenzio wa zamani acheni majungu!

Hakuna kosa ila imetokea wakati mbaya pale lulu alipokimbia,je hakukuwa na mawasiliano yeyote?ndiyo maana uchunguzi unaendelea na ukikamilika wahusika wote watapandishwa kizimbani.
 
Mmh!! 1)Kwa nini amuulize Lulu?
2)Aliaminije kuwa Lulu ndiye pekee anayeweza kumhakikishia kuwa Kanumba kafariki.
3)Kwa nini Alikiba afiche hadi ahusihwe ndio atoe maelezo haya?
Nafikiri ingawa source si cha uhakika lkn kuna issue ya kufanyiwa utafiti hapa.

hujasoma kuwa kwa wasanii wa maigizo ali kiba alıkuwa na namba ya lulu pekee? unapohoji kuwa kwa nini ali kiba afiche mpaka ahojiwe ulitaka aitishe press conference kusema kuwa baada kusikia habari za kifo cha kanumba alimpigia simu lulu kumuuliza?
 
amemtaja wapi hivi sasa lulu yuko segerea. tuwe macho kifo cha kanumba kinaweza kuwachafua hata wasio husika

tayari kifo chake kimeleta mabadiliko kwa baadhi ya wa Tanzania.
kuna aliekunywa sumu ya panya huko misugusugu
kuna alieachika shinyanga
 
hujasoma kuwa kwa wasanii wa maigizo ali kiba alıkuwa na namba ya lulu pekee? unapohoji kuwa kwa nini ali kiba afiche mpaka ahojiwe ulitaka aitishe press conference kusema kuwa baada kusikia habari za kifo cha kanumba alimpigia simu lulu kumuuliza?
Povu za nini tena?
 
Kuhojiwa Kiba na watakaofua ndio mfumo wa upelelezi. majirani, dereva aliemleta,daktari alieitwa na bw mdogo,msanii wa kwanza kufika nyumbani kwa Kanumba... Na watu kibao watahojiwa juu ya kifo hiki.
 
Kweli yatatukea mengi kwani hata Facebook ya Lulu inafanyakazi na imejazwa picha za msiba wa Kanumba je? Na yy Lulu yupo nje au jela na simu
 
Mbona nimeckiya kwamba kanumba kaonekana tabata akinunuwa vocha???¡¡¡ Naombeni mnipe ukweli.
 
Povu za nini tena?

Unatakiwa kunishukuru kwa kukuelimisha sio kuleta usharobaro hapa.
wewe hujawahi kufanya mtihani nini? FOLLOW INSTRUCTIONS BEFORE ANSWERING THE QUESTIONS that means lazima usome kwa makini kabla ya kujibu chochote, vinginevyo...
over and out.
 
amemtaja wapi hivi sasa lulu yuko segerea. Tuwe macho kifo cha kanumba kinaweza kuwachafua hata wasio husika
mkuu ukisoma mada kama hizi subiri watu kama 20 uangalie ukweli usije umbuka
ni kweli wamemhoji jana na amekiri kwenye clouds ingawa hana hatia hata kidogo mi nataka aseme wazi kigogo gani maarufu aliempigia kwenye simu nani anamhoji huyo???
 
Back
Top Bottom