Recent content by djesco

  1. djesco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kumfuma mke akichat na mwanaume mwingine

    Mkuukiukweli kila mwanamke utakaemuoa alikuwa na mtu wake, mimi wakati nakutana na mama mtoto 2010 aliniambia kila kitu nikakubaliana nae ila hakuniambia kama kuna jamaa wa kijijini kwao ambae alikuwa nae na bado wako nae, miaka ikasonga hadi mwaka jana ndo mambo yalianza kubadilika nikajifanya...
  2. djesco

    JamiiForums Tanzania Mada Huru: Ni Mtangazaji yupi anayekuboa zaidi?

    Duh!? Haya ndugu
  3. djesco

    JamiiForums Tanzania Bandarini si wizi bali kufuru: Meli nzima 'yaibiwa'

    Nimepita asubuhi naona ipo mkuu
  4. djesco

    JamiiForums Tanzania DART wameomba SUMATRA nauli ziwe kati ya 1,200 - 1,400

    acha kubwia viroba wewe maana utaanza kuvua nguo muda si mrefu mbele ya kadamnasi ila usiombe Nyoso awepo maana ataku-nyoso
  5. djesco

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Mama Lwakatare adai mteja wake alitimiza maelekezo ya NEMC

    Ha ha haaaaaa skelewu
  6. djesco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwanamke anayetukana ananikosha sana

    hii kali ya kufungulia mwaka
  7. djesco

    JamiiForums Tanzania Kiboko Albino agunduliwa Masai Mara

    ha ha aaaaaa mie mwenyewe nimeshangaa ila inaonekana kama ameathirika na kemikali fulani hivi
  8. djesco

    JamiiForums Tanzania Wakili wa Mama Lwakatare adai mteja wake alitimiza maelekezo ya NEMC

    Yote yanawezekana inawezekana mama mchungaji alitoa kidogodogo kwa maofisa wa NEMC sasa wamemgeuka ila sheria ni msumeno,inakula mebele na nyuma ngoja tusubiri tuone
  9. djesco

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Muziki Inaanza Kula Vibaya

    tatizo shule kiongozi wao walijua wamepata ila ngoja baada ya muda fulani wataanza kulalama nyimbo hazipigwi,afu ni uonevu kodi ulipe serikalini,ulipe kodi ya pango, ulipe watangazaji,mafundi mitambo,n.k afu na nyimbo nazo ukipiga ulipie!? huu ni uonevu na wakikomaa vituo vingi vitashindwa...
  10. djesco

    JamiiForums Tanzania Sheria ya Muziki Inaanza Kula Vibaya

    mkuu uiadhibu radio kwa kosa gani!? yaani ukilazimishe kituo kipige nyimbo anazozitaka waziri!? kama kila siku wapige nyimbo za tz na sie wapenzi wa mayenu itakuwaje!? raha ya mziki uchanganye na haka ka-amri ka kumlipa msanii kila unapopiga wimbo wake redioni wala haitachukua muda tutaona...
  11. djesco

    JamiiForums Tanzania Sikukuu ya Mwaka mpya 2016 imekosa msisimko kabisa

    Hela hakuna msisimko utatoka wapi!?
  12. djesco

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mrejesho: Nakasirishwa na wanaume wanaoomba namba ovyo

    kamdhalilisha kweli mshikaji maana duh!? kama name yeye in mwana jf hata hatatamani tena kumuona huyu dada
  13. djesco

    JamiiForums Tanzania Nisilolijua kuhusu biashara ya utumwa

  14. djesco

    JamiiForums Tanzania Tecno sasa inapokea Updates

    Huu uandishi huu haya tu
  15. djesco

    JamiiForums Tanzania Budget phone kutoka Asus yenye 1GB RAM,8GB HDD for80US $.

    Asa itazimwaje mkuu!? Inaonekana huajelewa vyema.Iko hivi kama simu yako juu jima lake ni Samsung ila ukiingiza zile imei number kwenye ile application ya tcra ikakwambia ni lg ama HTC hapo lazima izimwe so hii itawakumba sana wenye simu ambazo ni cloned
Back
Top Bottom