mkuu cjajua mna gan kwe ndoa yenu na cjajua umeshawekeza kiac gan kwe ndoa yako but cdhan km huyo ni mwanamke sahihi kwako hasa kwa hiyo mitazamo yake ya hapendwi mtu inapendwa pesa,sidhan km ni mtu sahihi wa kujenga naye maisha pamoja na kuwa ndoa za cku hizi zna changamoto sana lakin sasa mtu mgomvi,uaminifu wa mashaka,hapendwi mtu inapendwa pesa....pengine ww ndoa unaejua mmetoka mbali kiac gan au unampenda kiac gan ila ingekuwa mm ningempa go ahead ingawa na natambua si jambo rahisi maana ndoa ni ngumu sana