Sikukuu ya Mwaka mpya 2016 imekosa msisimko kabisa

Mkwala

JF-Expert Member
Sep 30, 2014
1,162
1,235
Heri ya mwaka mpya 2016,kama tulivyozoea hizi sherehe huwa zinafana sana na kunakuwepo na shamrashamra nyingi miaka ya nyuma lakini kwa sasa ni tofauti kabisa.Kwa sehemu nilipo hali ni tulivu sana sijui huko kwenu?
 
Watu wameanza kujenga mazoea ya kubana matumizi km anavyoagiza mh Pombe
 
Teh teh..Nadhani watu wameanza kunyoka..Pesa inatumiwa kwa heshima...Pesa za madili zimekuwa adimu siku hizi
 
Heri ya mwaka mpya 2016,kama tulivyozoea hizi sherehe huwa zinafana sana na kunakuwepo na shamrashamra nyingi miaka ya nyuma lakini kwa sasa ni tofauti kabisa.Kwa sehemu nilipo hali ni tulivu sana sijui huko kwenu?

Labda mnaishi bondeni watu wanahofia bomoa bomoa
Hapa kazi tu
 
Heri ya mwaka mpya 2016,kama tulivyozoea hizi sherehe huwa zinafana sana na kunakuwepo na shamrashamra nyingi miaka ya nyuma lakini kwa sasa ni tofauti kabisa.Kwa sehemu nilipo hali ni tulivu sana sijui huko kwenu?
Labda bado taifa 'lina huzuni' lowassa hajashinda!
 
Shamrashamra zilikuwa kibao.uwanja wa Taifa
Jana usiku.makanisani na misikitini.kuliombea Taiga letu 2016.we we uliezoea kushangilia bar na kwenye maclub.sorry sisi tumefanya mabadiliko,tunakwenda kununua uniform na madaftari. Amka
 
Labda bado taifa 'lina huzuni' lowassa hajashinda!
Hahahaha hizo ndoto za mzee Mzee Kimweri,hivi mambo yanavyoenda hivi,kuna mtu anakumbuka hata jina Lowassa kweli?maana yanayofanyika hata yeye angelikuwa amepata anajua maji marefu asingelifanya,acha kuwa karirisha watu mawazo yako.
 
Kama jina hilo halikumbukwi mbona wewe hujamuuliza muandikaji Lowassa ni nani??
CCM ni ileile hakuna jipya, unabanaje matumizi una makatibu wa wiza 19 50.. Ufalaaaaa!!
 
Hahahaha hizo ndoto za mzee Mzee Kimweri,hivi mambo yanavyoenda hivi,kuna mtu anakumbuka hata jina Lowassa kweli?maana yanayofanyika hata yeye angelikuwa amepata anajua maji marefu asingelifanya,acha kuwa karirisha watu mawazo yako.
Wewe ndio unataka utukaririshe mawazo yako? Weka mjadala uone wangapi wanamkumbuka na hawatamsahau.
 
Heri ya mwaka mpya 2016,kama tulivyozoea hizi sherehe huwa zinafana sana na kunakuwepo na shamrashamra nyingi miaka ya nyuma lakini kwa sasa ni tofauti kabisa.Kwa sehemu nilipo hali ni tulivu sana sijui huko kwenu?

Ni kweli ndugu yangu tangu matokeo ya uchaguzi hadi leo watu hawana raha
 
Tangu xmass na maulid...mpk mwaka mpya yani kumepoaaa..km sio sikukuu kubwa vile...ndio myoosho huo
 
Ukitaka msisimko nenda Mochwari mkuu....Watanzania tuko busy kujenga Taifa letu.
 
Tunaanza kubadilika kulingana na mazingira, mambo ya kutumia 10000 kwa kila siku, halafu leo sikukuu tutumie 100000 yamepitwa na wakati
 
Back
Top Bottom