Sheria ya Muziki Inaanza Kula Vibaya

Marumeso

JF-Expert Member
Oct 3, 2009
1,410
1,322
Nasikiza radio moja hapa naona walianza na nyimbo za uzunguni na sasa wamehamia mabuzuki. Sijasikia zile nyimbo zetu hata moja.

Imekaaje hii? radio zitaadhibiwa?
 
Nasikiza radio moja hapa naona walianza na nyimbo za uzunguni na sasa wamehamia mabuzuki. Sijasikia zile nyimbo zetu hata moja.

Imekaaje hii? radio zitaadhibiwa?
Unataka kusema ile sheria ya nyimbo ikipigwa tu ya msani wa bongo redioni ilipe hela!
 
Nasikiza radio moja hapa naona walianza na nyimbo za uzunguni na sasa wamehamia mabuzuki. Sijasikia zile nyimbo zetu hata moja.

Imekaaje hii? radio zitaadhibiwa?

Sina hakika sheria inasemaje ila nimeshangazwa na wasanii/wanamuzik wengi wanaiponda wakati kwa miaka mingi hicho ndo kilikuwa kilio chao na isitoshe majuzi kwenye kikao cha mwisho na mawaziri walikuwa na wawakilishi wangeweza kukataa km wanaona sheria inakula upande wao.
 
Nasikiza radio moja hapa naona walianza na nyimbo za uzunguni na sasa wamehamia mabuzuki. Sijasikia zile nyimbo zetu hata moja.

Imekaaje hii? radio zitaadhibiwa?
Radio gani hiyo??...Ile sheria ishaanza kutumika?
 
Hiyo sheria imekula kwao wasanii!
Red nyingi longolongo tu hawana fedha za kuwalipa wasanii...
Bora wasanii wangekomalia ktk kuzuia uwizi wa kazi zao

Ovaa
 
Redio zinajiendesha kihasara,wasanii kukosa promo,kwan kabla ya wimbo wa msanii haujapigwa lazima msanii azungumze na uongoz wa redio kwa malipo,hapo unafikir wasanii wa muzik watanufaika kweli?
 
Radio gani hiyo??...Ile sheria ishaanza kutumika?

Sina hakika km ni swsw kutaja jina la radio ila kifupi ukiskiza unaona mtangazaj kwa maksudi kabisa anakwepa kupiga nyimbo za hom.

Kuna nyimbo kazipiga hata yeye amekiri hajui lugha inayoimbwa!! Kazi ipo!
 
Mkuu kama unaogopa kuongea jf sijui utaongea wapi....Nwei hii system itawacost wasanii wengi nadhani
 
Sioni hata tatizo kwani hawapigi wakati mwisho wa siku 30% of the profit ni ya wasanii then wao ndo watagawana kutokana na mizunguko ya nyimbo zao
 
Sina hakika km ni swsw kutaja jina la radio ila kifupi ukiskiza unaona mtangazaj kwa maksudi kabisa anakwepa kupiga nyimbo za hom.

Kuna nyimbo kazipiga hata yeye amekiri hajui lugha inayoimbwa!! Kazi ipo!

Huu ndiyo ujinga wa madj na watangazaji wetu bongo kwani wengi wao ni wa kuokoteza mitaani. Mtu hajuwi anafanya nini lakini mabosi wanamuweka tu kisa ni kipozeo/chakula chao.
 
Hiyo sheria imekula kwao wasanii!
Red nyingi longolongo tu hawana fedha za kuwalipa wasanii...
Bora wasanii wangekomalia ktk kuzuia uwizi wa kazi zao

Ovaa

Wasanii wenyewe wanaamini nyimbo ikisambaa kwa watu wengi watatoka leo useme wazuie wizi!!! Haiwezekani washazoea kurusha Wasap na YouTube na hawalipwi
 
Bongo hakuna Msanii anayefaa kulipwa kwa mziki wake kuchezwa hakuna hata mmoja
 
Nasikiza radio moja hapa naona walianza na nyimbo za uzunguni na sasa wamehamia mabuzuki. Sijasikia zile nyimbo zetu hata moja.

Imekaaje hii? radio zitaadhibiwa?
mkuu uiadhibu radio kwa kosa gani!? yaani ukilazimishe kituo kipige nyimbo anazozitaka waziri!? kama kila siku wapige nyimbo za tz na sie wapenzi wa mayenu itakuwaje!? raha ya mziki uchanganye na haka ka-amri ka kumlipa msanii kila unapopiga wimbo wake redioni wala haitachukua muda tutaona madhara yake.
 
Hiyo sheria imekula kwao wasanii!
Red nyingi longolongo tu hawana fedha za kuwalipa wasanii...
Bora wasanii wangekomalia ktk kuzuia uwizi wa kazi zao

Ovaa
tatizo shule kiongozi wao walijua wamepata ila ngoja baada ya muda fulani wataanza kulalama nyimbo hazipigwi,afu ni uonevu kodi ulipe serikalini,ulipe kodi ya pango, ulipe watangazaji,mafundi mitambo,n.k afu na nyimbo nazo ukipiga ulipie!? huu ni uonevu na wakikomaa vituo vingi vitashindwa kujiendesha na vitafungwa asa wale waliokuwa wakijipatia kipato wa kufanya kazi huko watarudi kitaa kama watu wasio na ajira pia serikali kukosa mapato yatokanayo na kodi
 
Kuna tatizo mahala juu ya agizo hilo.. Na haliwezi timia TZ.

Kenya walijaribu ndio kilichopoteza genge.

Kwanza wasanii wetu hamna shule. Wajingajinga wengi.
 
Back
Top Bottom