Nyie ndio mitaji ya manabii na mapastor fake, yaan hamtakagi kutumia hata chembe ya akili zenu kureason mnamtegemea tu nabii/pastor
Unaacha kujilinda unasema kama uliandikiwa kufa kwa corona utakufa😀😀
Ulishawahi kujiuliza kwa nini unafunga mlango nyumbani? kwa nini unatumia neti?, kwa nini...
For sure ktk mahusiano niyopitia nimegundua ma x wote hawafanani kwa umbo, tabia, matendo na muonekano.
So kumiss x inatokea sio lazima ummiss kwa mazuri tu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.