Wadau nifanyeje wanipe mafao yangu?

Wadau nifanyeje wanipe mafao yangu?

Kuna sheria inasema huwezi kustaafu kabla ya miaka 55?
Kama ipo basi inabidi ujistaafishe kwa hiari. ....
Naona kufumuka/kuanzishwa kwa mifuko ya hifhadhi binafsi huko mbeleni....yenye sheria legevu kwa manufaa yetu wote.
 
Hiyo ndio faida ya kuwa na wabunge wa CCM

Wale jamaa wana LAANA
 
Una uhakika ama ndio unaamini poyoyo za mitaani na hao wafanyakazi feki wa nnsf.....mmmmh ?
Kiongozi NSSF wanatoa wala hawajasitisha. Kwa sasa wanasubiri mpaka ipite miezi 6 uache job ndo unafungua madai.NSSF wanatoa
 
Laana na iwafikie PPF.
Nilichofanyiwa na huu mfuko mwenye roho nyepesi angeweza jinyonga.
 
Leo nilikuwa pale ubungo plaza, nimeuliza kuhusu mafao wadai mafao Yanatolew kama kawaida ila mpaka utimize vigezo watakavyokupa,hii statement imenichosha kweli.
 
Kiongozi NSSF wanatoa wala hawajasitisha. Kwa sasa wanasubiri mpaka ipite miezi 6 uache job ndo unafungua madai.NSSF wanatoa
Mkuu mbona kuna jamaa kakaa miezi 6 aliporudi kapigwa miezi 2 tena.,hii inakuwaje sasa!?
 
Mkuu mbona kuna jamaa kakaa miezi 6 aliporudi kapigwa miezi 2 tena.,hii inakuwaje sasa!?
Yaani madai unafungua baada ya miezi 6. ukiishafungua ndo unafuatilia up to 3 months.Hela wanatoa nssf
 
Back
Top Bottom