Advance diploma vs Bachelor degree

Random

JF-Expert Member
Jan 8, 2017
791
742
Ni upi utofauti wa level tajwa apo juu ndani ya nchi hii? Au utofauti ni kwenye hizo phrases tu bt evrything ni sawa? Nimefanya utafit mdogo (field of accounting TZ) wahitim wengi wa Adv Diploma orally hujitambulisha kama Bachelor degree na pia even ktk consideration ya matangazo mengi ya masters watu hawa wawili hua ni sawa, more beyond nafkir hata kwenye bodi za kiprofesion pia huekwa sawa e.g level za kuanzia.

Pia nimeshuhudia cases nying watu wa Adv Dip kujiita Bachelors bt cjapata kuskia mtu wa Bachelor kujifananisha wacha kujiita ni Adv Dip, what is behind?

Conlusivelly nkaona wote ni sawa as per our nation salary scale wanapoanza kanzi na kipsndidhwa mishahara, if that is the case kwanin Adv Dip wasiwe admitted kama Bachelors tuu and vice versa also is true.
 
Advance Diploma ni sawa tu na Bachelor Degree...

Ndio maana vigezo vya kusoma Master Degree ni kuwa na Advance Diploma au Bachelor Degree kwa kuwa zina uzito sawa.

Kuna Ordinary Diploma na Advance Diploma... Ordinary ni kama A-level... Na Advance ni kama Bachelor Degree.

Note.Next time jaribu kuandika kiutu uzima... Acha huo uandishi wa Facebook.Watu wa huku wanapotezea Uzi ulioandikwa kitoto.
 
Haziko sawa na ndio maana mwenye bachelor hawezi kujifananisha na mwenye advanced Dip
 
Hakuna sababu ya kuweka ligi, me sioni sababu ya hiyo ligi kujiona mmoja yupo juu ya mwingine, jibuni kisomi hapa co kijiweni. Mimi nlipomaliza adv.dip ckujua tofauti hadi nlipokuja kuajiliwa kwenye secta ya Elimu. Kwanza wkt wa tangazo la ajira walitangaza Degree/Adv.dip na nlifanya interview, tuliopita tulikua mchanganyiko wa Degree na Adv.dip na waliokosa pia vivyo hivyo. Kazini pia mishahara yetu ilikua inalingana, wakati ule ilikuwa laki5. Na wote tuliaminiwa sawa na wengine walionyesha uwezo mkubwa tu kuliko hao wa Degree.
Tungeomba mtu wa NACTE na TCU aje atufafanulie vzr. Ila hizo zilianza km education systems tofauti na kihistoria zilitokea mataifa ya nje na sisi tukazichukua na kuanza kuzirun parallel. Adv.Dip ilibase kwenye Compitence Based Education while Degree ilibase kwenye Knowlagebased education. Vyou vilivyotoa Adv.Dip kwa wakati huo vilikua IDM Mzumbe, IFM, TIA etc. lengo lilikuwa kuwapata wabobezi/pure/specialized. Degree waliandaliwa hasa kwaajiri ya manegerial, ila hawakubobea sana kwenye fani husika. Hivyo miaka ile graduate wa IDM au IFM wa A/C ulikuwa huwezi mlinganisha na wa UD,(Adv.Dip ya IDM,TIA na IFM ilikuwa pure Accountants). So Serikali haikuwatofautisha na degree kutokana na uwelewa na uwezo(utendaji kazi). Hivyo kuondoa confusion wakaamua kufuta Adv.Dip maana walikua wanailewa ni watu walioko kwenye system tu, huku nje watu hawajui na ndo sababu watu wa Adv.Dip kujiita degree ili kupunguza maelezo. LKN pia unaweza ilinganisha kwani ulikuwa huwezi kuijiunga na Adv.dip hadi uwe na Dip au A.lavel hivyo zilikuwa zinalingana sana. Na ukipata GPA nzuri unaenda Masters km kawa, hasa U.K
 
Entry reuirements za adv Dip na Degree zilikua sawa?
 
Advance Diploma ni sawa tu na Bachelor Degree...

Ndio maana vigezo vya kusoma Master Degree ni kuwa na Advance Diploma au Bachelor Degree kwa kuwa zina uzito sawa.

Kuna Ordinary Diploma na Advance Diploma... Ordinary ni kama A-level... Na Advance ni kama Bachelor Degree.

Note.Next time jaribu kuandika kiutu uzima... Acha huo uandishi wa Facebook.Watu wa huku wanapotezea Uzi ulioandikwa kitoto.
Acha kupotosha watu wewe. Advanced diploma lazima awe na First Class ndo ajiunge na Master's lakini degree hata 2nd lower class wanaenda
 
Huko accounting labda ziko sawa.Kwenye Medicine Advanced Diploma hata Baraza la Kitaaluma halijui wanafanya kazi gani!!
Hata Kusajiliwa hakuna!aUkitaka kwenda Degree uanze upya...
 
Huko accounting labda ziko sawa.Kwenye Medicine Advanced Diploma hata Baraza la Kitaaluma halijui wanafanya kazi gani!!
Hata Kusajiliwa hakuna!aUkitaka kwenda Degree uanze upya...

Sector ya afya kwenye Advance diploma mmewatenga sana sijui kwanini.
 
Ni upi utofauti wa level tajwa apo juu ndani ya nchi hii? Au utofauti ni kwenye hizo phrases tu bt evrything ni sawa? Nimefanya utafit mdogo (field of accounting TZ) wahitim wengi wa Adv Diploma orally hujitambulisha kama Bachelor degree na pia even ktk consideration ya matangazo mengi ya masters watu hawa wawili hua ni sawa, more beyond nafkir hata kwenye bodi za kiprofesion pia huekwa sawa eg level za kuanzia..

Pia nimeshuhudia cases nying watu wa Adv Dip kujiita Bachelors bt cjapata kuskia mtu wa Bachelor kujifananisha wacha kujiita ni Adv Dip, what is behind?

Conlusivelly nkaona wote ni sawa as per our nation system, if that is the case kwanin Adv Dip wasiwe admitted kama Bachelors tuu and vice versa also is true..
Hiyo ilikua zamani, siku hizi hakuna advanced diploma
 
Swala La Entry Level Halikua Sawa Lkn Sababu Siyo Hyo Unayofikiria Wewe, Ni Uhaba Wa Nafasi, Angalia Saiz Vyuo Vilivyo Vngi Hata Ukiwa Na E.E. Unajiunga Na Degree. Mf UD Miaka Ile Kwa Udhamini Wa Serikali Ulikua Unatakiwa Uwe Div 1 Au 2 Lkn Mtu Akiwa Na Div3 Akaomba Km Private Alikua Anapata Tena Fasta.
 
Acha kupotosha watu wewe. Advanced diploma lazima awe na First Class ndo ajiunge na Master's lakini degree hata 2nd lower class wanaenda
Next time usikurupuke kujibu...

Mimi nimeongelea vigezo vya kujiunga na master degree... Au nimezungumzia zote zinaweza kukufikisha huko?

Hizo first class na 2nd lower class zipo wapi kwenye post yangu... Au ndo kubisha ilimradi uonekane unajua

Mwisho wa siku umekubali kwamba zote zinakufikisha kwenye master degree... Japo vigezo ni tofauti.

That was my point... Kwamba Bachelor degree na advance diploma zinakufikisha kusoma master degree... Hizo upper class na lower class sikuzizungumzia.

Soma uelewe.
 
Swala La Kutojiunga Na Masters Moja Kwa Moja Ni Kutokana Na Curriculum Mismatch Kati Ya Adv.Dip Na Degree, Km Nlivosema Awali Kuwa Adv.Dip Ni CBET while degree KBET, CBET wao walikua wanaandaliwa kuwa specialize hvyo hawakuwa wanasoma masomo mengi kwa mwaka af field zao walitumia muda mwingi kazin kuliko Darasani. Mf. Masomo 6 Kwa Mwaka While Degree Masomo 12 Au Zaid Kwa Mwaka(Two Semisters). Hvyo Inamlazm Adv.Dip Mwenye G.P.A Ya Kawaida Kusoma Post Grad.Dip Ili Ajiunge Na Masters. Japo Kwa U.D wao walifanya mradi tu lkn mtu Aliyekua Na Upper Second Ya DIT, Mzumbe,IFM au TIA, anashndwaje kusoma Masters Ya UD Kwa Mfano? Post Ingekuwa Kwa Waliopata Pass Na Lower Kwa Zote Adv.Dip Na Degree maana hata hzo degree za vyuo vingine vilivozuka miaka Ya Hv Karibuni, hazifikii kiwango cha Ile Adv.Diploma Iliyofutwa
 
Kuhusu Utofauti Katika Vyuo Vya Afya Ulikuepo Toka Miaka Mingi Kwani Mifumo Ya Sekta Ya Afya Inajitegemea Sana Mf. Kuanzia Entry Level, Duration Na Pia Wana Mambo Mengi Haina Utofauti Na Kusomea Upadri. Mf. kwa koz zingine acording to NACTE, NTALevel.4 ni Certificate ya Mwaka1, Halafu NTALevel5 na 6 ni Diploma Ya 2yrs. Ss Kwa Medicn Unaweza Soma Dip. Kwa Miaka2? Hiv v2 huwa 2naviangalia juu juu, hz kozi zna back ground zake zilikotokea had kuja nchini kwetu nac tukaiga na educatn systm zake, hao UD walianza kwa kutoa Education Na Baadae Sheria, Km A/c Ilianzia IDM Mzumbe Au Computer Science, Na Banking Zilianzia IFM na hao IFM hyo Comp.Science Yao Waliitoa Urusi. Na Km Unavojua Nchi Yetu Ni Ya Copy N Paste. So Hii Ni Mifumo Tu, We Hujiuliz Kenya Wanaishia Form4 Na Huku Form 6, Mkimaliza Vyuo Wote Mnakua Graduate Na Masters Mnasoma Pamoja. Na Hii Mifumo Huweza Kubadirika Kulingana Na Mahtaj Ya Soko Mf.Kuondoa Term Kuweka Semisters Au Nasikia Kunampango Primary Kuishia Std 6.
 
Back
Top Bottom