Recent content by Dj Composer

  1. D

    JamiiForums Tanzania Mkapa 2017: Kama waliotutangulia hawakutukanya tulipokosea basi ni dhambi ambayo hatupaswi kuirudia Kwa Magufuli anapoenda nje ya mstari

    Hiyo ya Hospital Magufuli Mbona Kama aliiomba mwenyewe alipokuwa Waziri Kwa wakorea, Lakin nadhani haikuwa ya Moyo ilikuwa ya Hadhi ya Juu mwishowe ikajengwa chini ya Kiwango, maana tender alimpa Mdogo wake Mayeye Magufuli wakala wote pesa
  2. D

    JamiiForums Tanzania TTCL Corporation: Support thread (Maswali, ushauri na malalamiko)

    TTCL mnabagua baadhi ya Maeneo hakuna huduma
  3. D

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mama mkwe amekataa kuwapokea washenga wangu

    Naombeni kushauriwa hapa kidogo, nilipata Binti tukaingia makubaliano ya kuoana, tukapanga mshenga wa kwenda kwao ila akapata dharura kidogo tukaahirisha. Tukaomba kwenda Jumatano ya week kesho kupeleka barua Kagera maana mama Mkwe wangu anatokea Bukoba. Amesema kwa kumwambia binti yake kwamba...
  4. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli duniani Leo

    Kipi
  5. D

    JamiiForums Tanzania UTAFITI: Juma Nature alikuwa maarufu wakati wake zaidi ya Diamond Alivyo maarufu kwa wakati wake

    Narudia tena na tena hakuna mtu wa kumfikia Qibratan.
  6. D

    JamiiForums Tanzania Upo unaota nini usiku huu?

    Nimeota Ng'ombe wananikimbiza sijui ina maana gani
  7. D

    JamiiForums Tanzania Rais Magufulli hawazii tena kuleta maendeleo ya Nchi ya Tanzania

    Ninyi ndo mabeberu
  8. D

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua magari kutoka kwa Johansen Buberwa kuweni makini mkono wa sheria waja

    may be lakin wanaolalamika wameleta jina hilo kama Johansen
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua magari kutoka kwa Johansen Buberwa kuweni makini mkono wa sheria waja

    WENZANGU NAMIMI NI KWELI TUNAKUTANA JAMIIFORUMS BILA KUJUA VITENGO VYA WATU NA WADHIFA WALIO NAO, NA WENGINE WANAINGIA KAMA UWAGENI WASIO NA USAJILI Nimeamua kuwadokeza suala hili kwa kina kuna mchezo mchafu wa kukwepa kodi kwenye magari yanayoingizwa nchini kwa kucheza na mipaka ya nchi kuna...
  10. D

    JamiiForums Tanzania Kwa kasi hii maendeleo lazima

    Kumbe mlipanga iwe 5000? Sasa mbona mmeweka 20,000
  11. D

    JamiiForums Tanzania Wana JF wengi hawajui hesabu wanakalia siasa, hawajui kuwa 2+2 = 5

    Twende kazi sasa , mnaojiita vipanga wa hapa mnaukimbia uzi huu hatari
  12. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli duniani Leo

    Kweli
  13. D

    JamiiForums Tanzania Magufuli duniani Leo

    Labda
Back
Top Bottom