Recent content by Dj Aiman

  1. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Nikipata milioni 6 tu nimeshatoboa!

    [emoji616]
  2. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Nikipata milioni 6 tu nimeshatoboa!

    Wengine tunaogopa mikopo kwanza atuna cha kuweka bondi
  3. Dj Aiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Old is Gold: Good music never dies

    :p
  4. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Mambo mengine niyakukaa kimya tu kama mtu anachakuongea Sio kilakitu mtu anaweza ku expose kwa kila mtu hasa mtandaoni ila usichokijua ni usiku wa kiza maan uchawi upo na kama uchawi upo basi na Mungu yupo Nashaa anajibu comment za wengin kam vle aon zang
  5. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Wewe kama umeandika makala hii kupata comments au likes sawa ila uwezi pingana na kweli ya Mungu siku akijifunua kwako wewe njoo bila aibu comment na wewe kama sisi na ueleze ukweli Sio leo umeshiba zako kiporo cha makande the unakuja kuropoka kosa ni mzima unatembea unahema unashida yoyote
  6. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Unajua Mungu aliumbwa na nani?

    Ndugu yangu mimi nimesoma kuliko wewe na nimefuatilia kuliko wewe amini usiamini Mungu yupo, Nilikua mbishi zaidi yako. Iko hivi achana na mambo ya maandiko sijuu dini hii sijui ile ila tambua kweli kuwa Mungu yupo, kwaupande wangu baada ya kuwa mbishi na kuchunguza kwa mda mrefu sikumoja ndio...
  7. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Nikipata milioni 6 tu nimeshatoboa!

    Mipango ya uhakika ipo mezani
  8. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Bado kunashida katika Serikali

    Unaweza pia sema "Yani mahusiano ya siku hizi"
  9. Dj Aiman

    JamiiForums Tanzania Bado kunashida katika Serikali

    Ukipanda bodaboda halafu ukaona dereva ana story wewe jisemehe kwa nguvu "HII SERIKALI YETU" Kisha kaa kimya. Hapo ndo utajua kuwa mmbongo mpe kichwa tu habari anayo.
  10. Dj Aiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, ni sahihi kwa mwanaume kuwa na mke mmoja? Kwanini wanaume wengi hawariziki na mwanamke mmoja?

    Mahusia ni jambo la kutazama katika jicho ya kipekee sana haswa swala la usaliti linapoingia katika mahusiano, Mahusiano kati ya mwanaume na mwanamke yalianza toka mwanzo kabisa mwauumbaji wa kila kitu. Ukiangalia kwa upande wa wanyama wao mausiano na kuingiliana kwao hayachagui kwani hawana...
  11. Dj Aiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Je, hip hop ndio mziki bora wa wakati wote? Vipi kuhusu misingi yake?

    Hip hop ni aina ya muziki unaoelezea aina ya usanii na utamaduni uliyotokana na jamii ya Wamarekani Weusi na Walatino kunako miaka ya 1970 mjini New York City, hasa katika kitongoji cha Bronx na badae katika miji mikubwa yote Marekani alafu Dunia nzima.Muziki wa hip hop pia huchukua tabia...
  12. Dj Aiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

    Akili nyingi san inatumika
  13. Dj Aiman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siri ya kitendawili cha msanii Diamond Platnumz ambayo watu wote wameshindwa kutegua

Back
Top Bottom