Hiyo hela unanunua I phone 14 moja na chenji kidogoMipango ya uhakika ipo mezani
Na vochaHiyo hela unanunua I phone 14 moja na chenji kidogo
Mwarabuuuu.......... Asaidie vijana.......mbaya zaidi waliokwama kimtajiKuna mwarabu pale Ilala huwa anawasaidia vijana waliokwama mitaji
Eti mkuu ....io ni uongo mkuu io ni uongo .UONGO UOOOOO.....😂😂Mwarabuuuu.......... Asaidie vijana.......mbaya zaidi waliokwama kimtaji
Igeuze meza kuwa 6m. Mbona rahisi tu?Mipango ya uhakika ipo mezani
Ukitaka connection naye inawezekanaMwarabuuuu.......... Asaidie vijana.......mbaya zaidi waliokwama kimtaji
Sio uongo mkuu anawasaidia vijana wasiotaka kuvuja jasho kwenye utafutajiEti mkuu ....io ni uongo mkuu io ni uongo .UONGO UOOOOO.....😂😂
Itategemea kaipataje kama kaanzia chini mpaka kufikia m sitta kwa nn asitoboe? Hata akipewa au kurithi au au itategemea na kazi atakayo ianzisha na uzoefu wakeHiyo 6 unaeza ipata na usitoboe hata sikio
Hiyo hela ndogo kwa fisadi au kwa mtu alirithi mali lakini kwa mtu wa kawaida kuitafuta hipo kazi nduguMbona ndogo sana ukiwa na nia?
Napenda challenge sana
Hakikisha unaweka mda tu