Recent content by Diva Beyonce

  1. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Majina yote ya waliochaguliwa Kinondoni, anwani ya makazi haya hapa

    Mbona document nyingine hazifunguki?
  2. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Arusha: Kigogo wa madini ya Tanzanite amtwanga risasi Mkewe na kujaribu kujiua

    Mnajuaje Sent using Jamii Forums mobile app
  3. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania GE2020 Mwita Waitara achanganyikiwa, awashtaki wanaompinga kwa wazee wa kimila wa koo yake

    Ubunge una muhangaisha ka kuku anayetaga kutaga loh, na bado mpaka ajutie usaliti Sent using Jamii Forums mobile app
  4. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania COVID-19 & DEEP STATE: Nini maana ya Uhandisi Jamii unaotokea Duniani!?

    [emoji120][emoji120] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mradi wa Global Health Fund

    Ngoja tujaribu bahati
  6. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mradi wa Global Health Fund

    Thanks
  7. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Utamtambuaje mvuta bhangi? I mean mtumiaji wa ndumu

    Ilikuwaje ukaacha bange na starehe yake ni ipi
  8. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Kabila la kwanza hadi la mwisho nchini kwa ubora wa kiasili wa uzalishaji vyakula vyenye lishe nchini:

    Hongera kwa hii topic umenifanya ni log in JF baada ya mda mrefu coz mada yako nzuri sana I hope to learn more from you honestly
  9. Diva Beyonce

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Baba yake rafiki yangu anamtaka kimapenzi

    Huyo binti amusemee kwa watu wazima wamwekee mtego. Hilo libaba la hivyo na halijiheshimu ukute lina ngoma na anafanya hivo maybe kwa vile sio mwanawe
  10. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Lowassa anyang'anywe Passport kabla hajatoroka!

    Facts
  11. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Waziri Mkuu Kassimu Majaliwa afika nyumbani kwa Marehemu Ndesamburo kwajili ya kutoa rambirambi

    Na wengine ndo wanalipa kisasi kina Nani hao walioifanya nchi for granted maana nchi ni yetu sote
  12. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Mikoa ya Pwani imependelewa sana katika mgawanyo wa Rasilimali za Nchi.

    Kwahyo unataka napo papendelewe ka chato airport. Maana watumishi wengi huhama nakuja mikoa karibu na Dar es Salaam.
  13. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Nimemkopea pesa kwa mtu hataki kurudisha

    Pole sana ukiona manyoya jua kaliwa ungekuwa umeandikishana ungemshtaki siku zote watu tuwaaminio ndo matapeli wakubwa.
  14. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atakubali kuachia ngazi muda wake madarakani ukiisha?

    Hata hyo neema hawezi kuileta na huo uwezo hana, kiongozi mzuri huonekana mapema kwa kufata katiba na kutenda haki madictator wengi huwa hawana maono hasa wa kiafrica zaidi ya ubinafsi wa kujaza tumbo zao
  15. Diva Beyonce

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli atakubali kuachia ngazi muda wake madarakani ukiisha?

    Huyu hata roho yake ina chembe ya ukurunzinza
Back
Top Bottom