Kiwango cha wagonjwa wa Corona kupona kwa hapa Tanzania ni kidogo ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya, Uganda , Rwanda pamoja na kwengine kwingi ukiangalia taarifa zinazorushwa mitandaoni.
Kwa hali inavyoenda, kama maambukizi hayatapungua sana, hospitali teule zote zitajaa wangojwa kiasi...