Huyu Don Mizengo Pinda ni nani?

Huyu Don Mizengo Pinda ni nani?

Wakuu habari zenu?

Naomba kwa anayeifahamu vizuri Familia ya waziri mkuu mstaafu mh. Mizengo Pinda anisaidie kujua huyu jamaa anaitwa Don Mizengo Pinda ni mtoto kweli wa mheshimiwa au la.

Kuna issue naifatilia kuhusu huyu jamaa, Nikipata majibu nitakuja na mwendelezo wa andiko langu.

Asanteni.

Ulifanikiwa kutatua hili jambo mkuu?
 
Wakuu habari zenu?

Naomba kwa anayeifahamu vizuri Familia ya waziri mkuu mstaafu mh. Mizengo Pinda anisaidie kujua huyu jamaa anaitwa Don Mizengo Pinda ni mtoto kweli wa mheshimiwa au la.

Kuna issue naifatilia kuhusu huyu jamaa, Nikipata majibu nitakuja na mwendelezo wa andiko langu.

Asanteni.
Chawa ni hatari Sana kwa kujiingiza na kujidai ni Wana familia.
Namkumbuka Paul Sitta a.k.a BASHITE
 
Huyu bwana Don Mizengo Pinda bado yupo na anaendelea na mapambano yake hasi

Napoongea hapa jua haya ni manyoya na tena parefu. Hapa ni kutafuta jinsi ya kumweka kwenye vyombo vya sheria.
 
Wakuu habari zenu?

Naomba kwa anayeifahamu vizuri Familia ya waziri mkuu mstaafu mh. Mizengo Pinda anisaidie kujua huyu jamaa anaitwa Don Mizengo Pinda ni mtoto kweli wa mheshimiwa au la.

Kuna issue naifatilia kuhusu huyu jamaa, Nikipata majibu nitakuja na mwendelezo wa andiko langu.

Asanteni.
Kwani Mizengo Pinda ni jina la kibiashara! Lina hakimiliki? Mbona na wewe kuna watu wengi wenye jina kama lako
 
Fanya yako please

KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom