Tanzania Exposed By Corona

vulcan

JF-Expert Member
Apr 2, 2012
1,742
2,459
Corona ni janga la dunia nzima - Nchi Tajiri na Maskini.

Lakini Corona ilipofika Kenya, WaTanzania wengi wakiongozwa na mwenyekiti wa Kamati Ya Roho Chafu - bwana joto la jiwe walifungua uzi hapa JF kusema vile ambavyo Tanzania ni mfano wa kuigwa katika kupambana na Corona.

Uzi wenyewe haukuwa hata na Mbinu zozote ilikuwa tu kuichekelea nchi ya Kenya ambayo ilikuwa na wagonjwa zaidi ya 100 wakati ule.

Ukijaribu kuwatuliza kidogo kuuliza swali "umepima watu 300 pekee, Kenya imepima zaidi ya 2500 wakati huo", jibu lilikuwa matusi, "kama our target ilikuwa 300, unataka tutoe watu wa kupima wapi?"

The only thing that saves Tanzania is that they can cook numbers and muzzle the media.

From their economy to national projects to National disasters.

Badilikeni Muendelee kuishi.

1587465450792.png
 
Kiwango cha wagonjwa wa Corona kupona kwa hapa Tanzania ni kidogo ukilinganisha na majirani zetu wa Kenya, Uganda , Rwanda pamoja na kwengine kwingi ukiangalia taarifa zinazorushwa mitandaoni.

Kwa hali inavyoenda, kama maambukizi hayatapungua sana, hospitali teule zote zitajaa wangojwa kiasi cha kushindwa kupokea wapya. Kuna haja ya kuangalia hao wenzetu wanatumia tiba zipi ambazo zinaleta matokeo kuliko Tanzania.

Lakini kikubwa, mwenendo huo unamaanisha tuchukue tahadhari sana kuepuka maambukizi ambayo tayari inaonekana tiba zilizopo hazileti matokeo. Kwa taarifa zilizopo wangonjwa 254 na waliopona ni 11 tu!.

Tuendelee kumwomba Mungu hili janga lifike mwisho.
 
Tulijaribu kuwaelimisha kwamba Corona ni janga duniani kote. Ila Kenya tulipopata kesi ya kwanza tu wakaanza kutukejeli na kututusi. Kuna sehemu niliwaambia kwamba hili janga litawaumbua kweli kweli. Sasa hivi tayari wanatuongoza kwa 'active cases' maanake wagonjwa 69/281 wamepona nchini Kenya idadi inakuwa 212. Tz wapo 243 baada ya wagonjwa 11/254 kupona. Siwakashifu kwasababu ya Corona ila ni kwasababu ya umbumbu na uchawi wa BAADHI yao.
 
Capture.PNG
 
This Pandemic will expose the Man "Magufuli" and his insecurities
 
Tulijaribu kuwaelimisha kwamba Corona ni janga duniani kote. Ila Kenya tulipopata kesi ya kwanza tu wakaanza kutukejeli na kututusi. Kuna sehemu niliwaambia kwamba hili janga litawaumbua kweli kweli. Sasa hivi tayari wanatuongoza kwa 'active cases' maanake wagonjwa 69/281 wamepona nchini Kenya idadi inakuwa 212. Tz wapo 243 baada ya wagonjwa 11/254 kupona. Siwakashifu kwasababu ya Corona ila ni kwasababu ya umbumbu na uchawi wa BAADHI yao.

Huku mkiongoza kwa vifo so far 14 deaths! Plus 3 deaths from Police brutality to enforce curfew!
 
Gamal Sankara,

Hao ndio baadhi ya watu wa kupuuzwa tu, ukijibizana na mwendawazimu watu hawatajua tofauti kati yenu. Wanachowaza hata kwenye janga kama hili nikumsifia tu mungu mtu wao Jiwe na chama chao cha malofa. Hata baada yao wao kuendelea kuchemsha, kuumbuliwa na kuwaletea aibu.
 
Hili sakala la Corona bado linaendelea, hakuna nchi hata moja ambayo tayari imeshatangaza ushindi hatujui kesho ya nchi yoyote. Hali inaweza ikabadirikia nchi yoyote kwa kuwa na maendeleo chanya au hasi. Kilichopo ni wasimamizi wa kila nchi kuhakikisha wanarejea mbinu wanazozitumia ili kuendelea kuleta matokeo chanya. Hii ni pamoja na kuangalia tiba wanazotumia wanaopata matokeo mazuri( ikizingatiwa dawa haijapatikana) pamoja na hatua wanazochukua.

Hivyo ni vizuri kutumia jukwaa hili kupeana taarifa na mawazo ya aina ya kuboresha udhibiti wa ugonjwa na kufanya maisha kuendelea. Yanayoandikwa humu hata watunga sera wanayaona na mengi yamekuwa yakifanyiwa kazi.
 
Kwani kenya wameshashinda vita hii ya corona!!? Ooh hongereni sana
Hawa jamaa ni majuha haswa.
Ona jinsi mwenzao mwenye kuona mbali toka Mombasa anavyosema..

Copy and Paste Anti-Covid 19 Measures hit Hard East African Countries

By: Kimathi Njoroge, Mombasa, April 20,2020

There is an old saying that a falcon cannot bear the falconer. The saying is compared to some East African countries that have copied and pasted Western countries anti-COVID 19 measures. Specifically, I write in the view of my lovely country, Kenya. In academic sphere, Copy and Paste is academic suicide. This is no difference with copied and pasted measures against anti- COVID-19 measures in the World. In East African Context, each country opted her measures against COVID-19. But most countries in the region excluding our neighbours Tanzania copied and pasted Lockdown Western style. It is unfortunate that there has been no single coordinated formula in these countries to fight COVID-19.

Now western styles against COVID-19 in Eastern countries have started to backfire. For example, Kenyan government has today told the public that it plans to re-open domestic flights and other travels to save the economy. The statement posted by BBC news stated clearly that Kenyan economy has been badly hit by total lockdown. The statement went further by stating that the country is also set to open up local tourism to save its economy.

It should be noted that - Kenya is a middle income country that will not benefit the debt relief provided by World Bank and IMF to poor African countries. We have addresses this many times to Kenya government. In our neighbours Rwanda, the situation is the same. Yesterday, the country lamented for lockdown effects while pledging to continue with it. The government said it was becoming tough to feed all Rwandese on the pretext that the number of needy people is too high compared with the government's capacity In Uganda the situation is not different, Ugandans have been hit bitterly and hardly economically by the total lockdown.

I spoke to my friends in Uganda - the majority are asking the government to re-open up businesses. President Kaguta Museveni has resisted his peoples call telling them that if you were poor before COVID-19 you will remain poor after COVID-19. It should be noted that last week the World Bank warned some African countries including Kenya against their copy and paste anti-COVID 19 behaviours. These countries were advised to use their think-tanks to plan best measures that suits their environment. Few countries in Africa have not copied and pasted Western countries. These include among others our neighbours Burundi and Tanzania. I researched over Tanzania’s measures and found despite the allegations against our neighbours, all World Health Organisation's anti- COVID-19 measures are in place but has not closed its borders.

The country has neither halted domestic flights nor businesses shut down. It is possible that Tanzania analysed anti western COVID-19 measures and concluded that they will not bearfruits in the region. Recently, President John Magufuli told the congregation in the church that Tanzania is surrounded by eight countries that depend on it to survive adding that if we close the borders citizens in these countries will die. What kind of lovely gesture in our regional friendship! This was a strong statement coming from the leader whose country is also fighting COVID-19.

If this is not enough, President Magufuli asked Tanzanian to hold three days prayers against Covid-19. Prayers lifted the souls and minds of many people despite the existing stressing virus. It is said in Latin that _Gaudele cum gaudentibus_ meaning that enjoy with those who enjoy. In my opinion, God through Tanzanians prayers will cover all of us in the region so long as we are attached to them. It seems, Tanzanian style is bearing fruits and interests other countries in Africa and World at large. Today, President Nana Akufo Ado has ordered the lock down meaningless and told his citizens come out and work to save the economy. At the same time, things are jumping from the pan to the fire in the US.

Americans have flocked in the streets demanding the lock down orders in states to be lifted because they have badly hit them economically. In Sweden, the government has ordered people to come out and work to save the economy while taking measures against COVID-19. These are symptoms that most countries in the world will open up their economy while taking measures against COVID-19 because lockdown will no longer be a permanent solution. I think, this should be the lesson to us, especially the East African countries that whenever something bad happens we must be united and put our efforts towards the solution that works for us and serve our region. *Thank you.*
 
Nice write up 😂😂
 
Back
Top Bottom