Recent content by dismindergirl

  1. D

    Huna haja ya kukata tamaa kwa kuangalia picha hizi

    Alhamdulillah kila siku tunatakiwa kumshkuru mungu kwa kuwa wazima na wenye afya
  2. D

    Naolewa wiki ijayo, nahitaji ushauri kwa wazoefu na ndoa

    Kuwa mvumilivu na uwe mwepesi wa kusamehe sio kosa dogo tu unakasirika wiki nzima na uwe tayari kusacrifice all your time kwa familia yako. Nakutakia kila la kheri
  3. D

    Tupia meseji maalumu kwa alieachwa na mpenzi wake ili iweze kumfariji na kumpa amani

    Kama huyo alokuacha bado unampenda mi ntakwambia hivi: if you love something let it go,of it comes back it's yours and if it doesn't it never was just move on God has something better for you!
  4. D

    Six Little Stories

    Nzuriiii
  5. D

    Samaki wa kopo wanaweza tumika katika mapishi gani?

    Habari wana JF. Naomba kufahamishwa aina mbalimbali ya vyakula navyoweza kupika kwa kutumia samaki wa tuna wa kopo.
  6. D

    Majuto ni mjukuu

    You don't see the importance of something until you loose it ndo mana huyo dada anajutia sasa hivi kishauona umuhimu wake
  7. D

    Ukaibuka bonge la ugomvi

    Lesson 5: usiache chupi chooni kwenye nyumba ya kupanga!
  8. D

    Uzazi wa Mpango - Njia za kuzuia, aina ya Uzazi wa mpango na ushauri

    ukitaka usikosee mambo basi we jigijigi siku zote la kasoro siku 5 tu yaani siku ya 12 mpaka ya 16 tangu mzunguko wa hedhi ilipoanza( hizo ni siku kwa ajili ya mimba), hapohata kama mzunguko ukibadilika kidogo haitaathiri kitu.. wengi hukosea kwa kuanza kuhesabu siku hedhi ilipokata na ndio...
  9. D

    Ulimtambua vipi kuwa huyu ndiye mwenyewe?

    Mi wangu alikuwa kishapangwa na wazazi lakini nilitaka kumjua kwanza kabla ya ndoa nilipoongea nae tu kwenye simu i knew he was the one mpaka sasa tuna miaka miwili ndani ya ndoa na tuna mtoto mmoja am happy to be with him.
  10. D

    Cute sayings and proverbs

    "Life is a climb but the view is great"
Back
Top Bottom