Ukaibuka bonge la ugomvi

Ukaibuka bonge la ugomvi

TAJIRI MKUU WA MATAJIRI

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
11,218
Reaction score
22,535
Kuna rafiki yangu mmoja mlokole sana, anaishi Temeke, nyumba anayoishi Ina wapangaji wengi, basi siku moja akaingia bafuni, kulikuwa na chupi ya kike imeanikwa inachuruzika Maji, sijui ikawaje, akaidondosha mke wake akaona mume kakaa muda mrefu bafuni akamfuata, akamkuta anafua chupi ya kike, ukawa ugomvi mzito.
 
Huyo mke ana yake! Kwani kufua chupi inachukua muda gani? Ama mzee alikuwa anajipuli?
 
Kuna rafiki yangu mmoja mlokole Sana, anaishi Temeke, nyumba anayoishi Ina wapangaji wengiiiiii, basi siku moja akaingia bafuni, kulikuwa na chupi ya kike imeanikwa inachuruzika Maji, sijui ikawaje, akaidondosha.... mke wake akaona mume kakaa muda mrefu bafuni akamfuata, akamkuta anafua chupi ya kike, UKAWA ugomvi mzito.

Mh! Majanga.
 
Hahahah hiz n siasa kwel UKAWA ugomvi kila mtu anakiu ya kucmamisha bendera ya pichu ikiashiria rang ya chama chao.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom