Atoto
JF-Expert Member
- Jul 19, 2013
- 89,373
- 176,210
miss chagga na atoto leo katika ubora wenu........uzi huu una bonge la ujumbe
Hahahaaaa! Leo unatusifia maana hakuna pesa eti?
miss chagga na atoto leo katika ubora wenu........uzi huu una bonge la ujumbe
Kwa kupitia maneno machache ya kiswahili kwenye thread na michango ya watu humu nimeelewa kwamba story ni ni nzuri na inafundisha.
Ila kwenye kiingereza duh, labda nipate mkalimani. Natamani nikuombe unitafsirie eeh.
Waione dada zangu Honey Faith, Khantwe, Heaven Sent, atoto, cute b, missyrose na Heaven on Earth!!! ujumbe, ukishikwa shikilia....
Waione dada zangu Honey Faith, Khantwe, Heaven Sent, atoto, cute b, missyrose na Heaven on Earth!!! ujumbe, ukishikwa shikilia....
Hahahaaaa! Leo unatusifia maana hakuna pesa eti?
Bado unatenda kosa lingine unatoa siri za ndani
prado alikuachia au alisepa nalo?!
ha ha ..kuna wakati pesa sio kila kitu
Aliachiwa kila kitu had nyumba jamaa aliondoka na nguo tu
Ila nimemiss mada ya hivyo basi tu.
sema mada hii ni msaada mkubwa sana kwa RRONDO We na miss chagga mlikuwa mnamtisha sana na mikwara ya pesa kwanza....ukute mlikuwa mnawapotosha tu wengine