Recent content by DISMANDER GIRL

  1. D

    JamiiForums Tanzania ushauri tafadhali

    Km nataka kupeleka barua ya kuacha kazi kwa mwajiri wangu na tarehe ya mshahara ni tarehe 24.Je kati ya tarehe 23 na 24 ni tarehe ipi itakuwa vyema kupeleka barua,kwa malengo nimlipe mwajiri mshahara wa mwezi husika.Msaada tafadhali.
  2. D

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kuhusu mwajiri wangu

    Wanajamii forum,naombeni kuuliza.Km mtu unataka kuandika barua ya kuacha kazi na mshahara huwa nalipwa tarehe 24.Je,barua naweza kuipeleka kwa mwajiri wangu tarehe 23? Au ni 24? Kwa malengo nisilipwe mshahara wa mwezi husika na nimlipe mwajiri.Msaada wa ushauri wapendwa.
  3. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Elimu yangu ni chuo kikuu(bachelor of accounts and finance)
  4. D

    JamiiForums Tanzania Usithubutu Kumpoteza Mwanamke/mpenzi Wa Kinyakyusa

    Maisha ya sikuhizi yako tofauti na zamani,tabia za binadamu toka kabila moja hadi lingine haziko tofauti sana.Inategemea na mtu mwenyewe.Ila nawapa big up wanyakyusa ]
  5. D

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri

    Hivi Saccos umeajiriwa km mhasibu unaweza kulipwa shs.ngapi? Naomba ufahamu wenu ndugu
  6. D

    JamiiForums Tanzania Zitambue maana ya alama mbali mbali na picha katika noti za Tanzania....

    Asante kwa kutukumbusha coz ni vitu vidogo but huwa hatuvizingatii
  7. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Akiba Commercial Bank

    Asante mkuu kwa ushauri wako.
  8. D

    JamiiForums Tanzania Nafasi za Akiba Commercial Bank

    Habari wana JF. Kuna nafasi za loan officer zilitangazwa humu karibuni. Na application inafanyika online via recruitment@acbtz.com but kila nikituma application inakataa kwenda. Naomba msaada wenu.
  9. D

    JamiiForums Tanzania Mwenye Update za Mwanza Community Bank

    Wamejibu kwenye email za waombaji au vp,naomba unieleweshe mkuu.
  10. D

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu hawa EROLINK RECRUITMENT AGENCY TAFADHALI!!

    Mimi nimefanya nao kazi km mwaka1nbc customer service gross ni km 512000 wakishakata unabaki km laki 4 hivi hamna benefits zozote wala overtime payment.Hapo wanakuwa washakata chao ambapo ni Siri yao.Ila kwa kuanzia kazi so mbaya kuliko kukaa hm
  11. D

    JamiiForums Tanzania utumishi tena

    Ndugu naomba msaada uzipost hizo nafasi na wengine tuzione
  12. D

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa interview ya cashier maswali yanakuaje?

    Mi nakushauri pitia hesabu kuanzia za form one na kuendelea.
  13. D

    JamiiForums Tanzania TRA Posts........

    Hivi wandugu naomba msaada kuhusu interview ya assistant tax officer,written yaoinakuwaje,msaada wanajamii.
  14. D

    JamiiForums Tanzania Haya ndio madudu yaliyotokea kwenye usaili tare 15.12.2012, Kinachoendelea UTUMISHI ni kiini macho

    Ni kweli huu si uungwana,hivi kwanini wasitende haki?hali km hii hatuwezi endelea.Watuonea huruma tumesota kutafuta elimu ili tupate ajira kulingana na elimu zetu ila hali bado ni tete.
Back
Top Bottom