TRA Posts........

TRA Posts........

Hivi wandugu naomba msaada kuhusu interview ya assistant tax officer,written yaoinakuwaje,msaada wanajamii.
 
kama huna asili ya mlimani usisumbuke kuunguza nauli!

Nafasi nyingi zimeshachukuliwa na akina mrema, kimaro, temba, mushi, shayo n.k!

Teh wote Chadema hao wanaiba hela zetu TRA na kupeana nafasi kinyemela halafu wanajifanya Chadema kweli nyani haone kundule (------lake)
 
what if akiwa ni mpare,,,,,,,, u will die without make it. Pole sana.
my advice is never let any opportunity get away without use it.
mie nafahamu watu kibao wenye qualification wanapiga mzigo bila matatizo.
Ngoja mkurugenzi wa tra aondoke abadili mnyakyusa ndipo nionbe
 
Teh wote Chadema hao wanaiba hela zetu TRA na kupeana nafasi kinyemela halafu wanajifanya Chadema kweli nyani haone kundule (------lake)
mfa na maji haachi kutapatapa. kama ndo unavyofikiri umekwisha kijana, utawasikilizia wenzako kwa mbali. badilika..
 
what if akiwa ni mpare,,,,,,,, u will die without make it. Pole sana.
my advice is never let any opportunity get away without use it.
mie nafahamu watu kibao wenye qualification wanapiga mzigo bila matatizo.

Hao noma i see bora ya mchaga tena hao hawafai
 
Back
Top Bottom