Recent content by Disciplinarian

  1. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Kisutu: Linna Romani Maro afungwa miaka 30 kwa hatia ya kusafirisha dawa za Kulevya

    43.95 Inamaana ni VALUABLE SANA ikithamanishwa na kifungo alichopewa 30yrs...what if ingekuwa 1000gm ambayo ni 1kg,angepata miaka mingapi...?
  2. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Vodacom ndio kusema mmesamehe au?

    *Kwa swala la voda,namna WANAVOCHAKATA GHARAMA KWA MIAMALA kama vifurushi & huduma za kifedha; imekuwa katisho la tamaa kwa wateja wake. *Ila tofauti ya MUDA TANGU MTEJA AMENUNUA KIFURUSHI na KUKATA KIFURUSHI umekuwa hauko wazi...wateja wanadhani wanaibiwa na mtandao huo. *NI MUHIMU KULIPA...
  3. Disciplinarian

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Habari Njema: Safari ya Binadamu kwenda kuishi Sayari ya Mars imenukia!!

    Hili linaenda kuwezekana,taasisi kama “HOMESTEAD” na TESLA wanaendelea kuweka hundreds of billions ya hii project.. *Pia filamu kama “Prometheus”..”passengers” & “space between us”...zinatoa utangulizo kwenye UHALISIA wa mradi huu wa binadamu kukaa MARS. Sent from my iPhone using JamiiForums
  4. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nahitaji 32” USED...bajeti yangu ni 200k...nicheki 0767875712 niko dar Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Wauza TV aina zote kwa bei nzuri tuuziane hapa

    Nina 200k CASH nikutumie mkuu Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania IPhone 6, 64GB very clean

    Fanya kunicheki 0767875712..tuyajenge
  7. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania NMB. Please msaada wa interview zao kwa wajuzi

    Mkuu...aptitude ndo chenyewe
  8. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Ukiendesha Range rover 2018 uwezekano wa kupata ajali ni mdogo sana!

    Hii kwa tanzania,iwe ni LANDROVER SOUTH AFRICA..zinazotoka UK unaeza pata mpaka $60,000 hadi ulimiliki mkononi...wakati ikitoka S.A ni $35000 tu ukiacha vigarama vidogodogo..... Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Rudini Nyumbani kumenoga TTCL 5000 unapata GB 8 kwa wiki

    Huyu atakua anasajili line 🤣 Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Je, Binadamu ameshaenda umbali upi chini ya ardhi?

    Hii ni conspiracy mkuu...just a belief,lkn sidhani kama ‘inner core’ ni kweli ina exist Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Used HP 369 inahitajika

    Njoo inbox na detail za kama memory capacity,condition & dimensions Sent from my iPhone using JamiiForums
  12. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Used HP 369 inahitajika

    Mkuu naona ATTACHMENT uliotuma imekataa ku-open ...but I hope itakua na muonekano huu Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Used HP 369 inahitajika

    Habari wakuu •natafuta HP360 ambayo ni used(new) in a good condition.. BEI:iwe affordable MAHALI : DSM Aliye serious njoo inbox tuyajenge..nashukuru Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Computer4Sale HP X360 inahitajika

    Habari wakuu •natafuta HP360 ambayo ni used(new) in a good condition.. BEI:iwe affordable MAHALI : DSM Aliye serious njoo inbox tuyajenge..nashukuru Sent from my iPhone using JamiiForums
  15. Disciplinarian

    JamiiForums Tanzania Natabiri: Kesho tunanunua 1 USD kwa Tshs 2400 pia kama tutaendeleza ulimbukeni huu basi tuwe tayari kununua USD kwa Tshs 3000

    Yani mkuu,inamaana mtu aliye pale (Suffolk)LONDON muda huu,anaweza washia moto na hela ya tanzania [emoji1241] (Tsh)..kama tu matakataka au karatasi ya kufanya moto uwake (pengine akikosa mafuta ya taa)[emoji16]
Back
Top Bottom