Yale mambo tunayoyasoma kwamba kuna sayari nyingi tu zaidi ya hii tunayoishi ni kweli... wanasayansi wa dunia wanafanya maandalizi ya mwisho ili kumpeleka binadamu wa kwanza kwenda kuishi sayari ya Mars sayari iliyopo umbali wa takribani 35million miles toka hapa duniani kwetu. Inachukua miaka 3 kufika Mars na kurudi.. kwa hiyo siyo zoezi dogo.
Karibia karne nzima wanasayansi wamehaha kujaribu kutatua vikwazo vya safari hii ya kupeleka binadamu kuishi huko vikwazo vikiwa ni hali ya hewa Joto / Baridi, Nguvu ya uvutano, Mgandamizo hasi (Magnetic field, Radiation etc hata hivyo wanasayansi hawa wamefanikiwa kwa nyakati tofauti kupeleka vyombo pelelezi vikiongozwa na Robotis na kutuma picha, hali ya hewa za huko hapa duniani nk
Safari hii ya kwanza inayokadiriwa kufanyika ifikapo 2040 binadamu wengi wanaisubiri kwa hamu kubwa, kama una umri wa miaka 30 hadi 40 unaweza kushuhudia tendo hili la historia ya ulimwengu.
Hongera NASA na wanasayansi wengine wa duniani kuhakikisha mnafanya kazi usiku na mchana ili kukanikisha safari hii ya kihistoria.