Recent content by Disaba

  1. Disaba

    Biashara ya nguo kwa mtaji wa Tsh. milioni 1

    Habari za humu ndani ndugu zangu. Katika hali ya kuchakarika na kutafuta maisha hatimaye leo nimekuja na wazo langu ambalo nahitaji msaada toka kwenu wadau au kama kuna wazo zuri zaidi ya hili unaweza pia nishauri. Nilikuwa na wazo la kufanya biashara ya nguo za wadada na watoto, kwa mzoefu au...
  2. Disaba

    Ps playing station

    hi forum! kwa mzoefu au mwenye kufaham mtaji wa kuanzisha game play station (PS) unaweza kufikia kias gani? ignore kodi ya flame! msaada.
  3. Disaba

    Nahitaji kujia bei ya pikipiki za boxer used

    mupo poa sana jf au vipi? samahan. anaejua range ya bei ya pikipiki aina ya boxer used anisaidie wakuu . ahsanteni nawasilisha
  4. Disaba

    Wale Wa duce tukutane hapa

    joining instruction tayar?
  5. Disaba

    University admission results updates (Matokeo ya udahili vyuoni)

    wakuu ntapitia tena badae sahv nitengeneze mkeka wangu nianze kubeti!
  6. Disaba

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    hiyo ndo point. keep it up man
  7. Disaba

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    ila olevo ni utoto! huko aendak BAM itamsaidia
  8. Disaba

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    munaotoa quote za uongo cjui munawaza nn vchwan mwenu.
  9. Disaba

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    kwel bwan evaporation isha_take place on our head
  10. Disaba

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    think b4 falsify. all here we posses supple mind! u just make repetation on wat u lie to us! u just pressuming! be heald in the name of jesus.
  11. Disaba

    Post za kidato cha tano 2015/2016

    humu JF weng wanakua kma standard 7 leavers hv! cvcs haijawastarabisha? kma hujui whats going on unashindwa ku_mute had kutoa credible taarifa? keep ur_self as educated man! nduguzangu any where NO RESEARCH NO RIGHT TO SPEACH. nice tym watu wang wa nguvuuuuuu
Back
Top Bottom