feza boys/st.joseph cathedral

Nov 20, 2016
39
4
wadau mi nina Qn
nimechaguliwa kujiunga na A-level-feza boys but haina ECA ina EGM na combination zingine za science,ila mm nataka kusomea economic in the future BUT for st.joseph cathedral ina ECA na bado cjafanya interview. je niende shule gani hapo?
 
Usiseme wadau...anza na salamu kwa wakubwa zako. Nani mdau hapa?
Ok shule zote ni nzuri apo...sasa kama shule zinaendana kwa uzuri...cha kuzingatia apo soma unachopenda, bcuz hutasoma milele kwnye.izo shule ila unachosomea kitakaa kwnye.maisha yako.
So tofauti ndogo ya ubora baina ya shule izo mbili isikufanye ukashindwa kusoma kitu cha ndoto yako.
 
Utajuaje kama interview ya Josipe utapita?

Kama wakikukataa je?

Na pia kipindi unafanya interview hapo feza hukujua kitu unachotaka kusomea hapo hamna??

Nyie ndio watoto mnaotia hasara wazazi wenu ,yani mzazi anakulipia gharama za interview halafu baadaye unamwambia unachotaka kusomea hakipo, haaingii akilini kwa kweli ulifanya interview ili iweje sasa??

Ila kama unataka kusomea ECA St Joseph iko vizuri tu kijana kuwa na amani na kwa kuthibitisha wameingiza wanafunzi wawili kwenye kundi la wanafunzi bora kitaifa katika hayo masomo ya biashara
 
Nenda catherdal je utaweza kusoma pale sio lelemama wanakufukuza ukizingua kielimu na kitabia
 
Usiseme wadau...anza na salamu kwa wakubwa zako. Nani mdau hapa?
Ok shule zote ni nzuri apo...sasa kama shule zinaendana kwa uzuri...cha kuzingatia apo soma unachopenda, bcuz hutasoma milele kwnye.izo shule ila unachosomea kitakaa kwnye.maisha yako.
So tofauti ndogo ya ubora baina ya shule izo mbili isikufanye ukashindwa kusoma kitu cha ndoto yako.
thanks bro
 
Utajuaje kama interview ya Josipe utapita?

Kama wakikukataa je?

Na pia kipindi unafanya interview hapo feza hukujua kitu unachotaka kusomea hapo hamna??

Nyie ndio watoto mnaotia hasara wazazi wenu ,yani mzazi anakulipia gharama za interview halafu baadaye unamwambia unachotaka kusomea hakipo, haaingii akilini kwa kweli ulifanya interview ili iweje sasa??

Ila kama unataka kusomea ECA St Joseph iko vizuri tu kijana kuwa na amani na kwa kuthibitisha wameingiza wanafunzi wawili kwenye kundi la wanafunzi bora kitaifa katika hayo masomo ya biashara
thaks for advice bro
 
wadau mi nina Qn
nimechaguliwa kujiunga na A-level-feza boys but haina ECA ina EGM na combination zingine za science,ila mm nataka kusomea economic in the future BUT for st.joseph cathedral ina ECA na bado cjafanya interview. je niende shule gani hapo?
Kumbe bado upo level za form nin nin
 
wadau mi nina Qn
nimechaguliwa kujiunga na A-level-feza boys but haina ECA ina EGM na combination zingine za science,ila mm nataka kusomea economic in the future BUT for st.joseph cathedral ina ECA na bado cjafanya interview. je niende shule gani hapo?
Sijaona tatizo lako liko wapi. Kama unataka kusomea Economics kama ulivyoandika EGM ndiyo combination inayo ongoza na sio ECA (ina bias ya Biashara). Kama ni hivyo FEZA inakufaa labda uwe na sababu nyingine. Na FEZA ni wazuri kwa hiyo combi.
 
Soma EGM yote unayotaka utayapata.
 
Back
Top Bottom