mwanakijiji lugusi
Senior Member
- Apr 13, 2016
- 128
- 96
Wadau huu Uzi ni maalumu kwa wale waiochaguliwa Duce na kupeana hali halisi za huko na maisha ki ujumla

Anaitwa Nani?hili jina kama nakujua hiv
Ingia kwa profile ykoNaomba linki jaman nimeomba hapo ila sijaona selection
chuo kibovu sana ichoWadau huu Uzi ni maalumu kwa wale waiochaguliwa Duce na kupeana hali halisi za huko na maisha ki ujumla
Kwann mkuuchuo kibovu sana icho
Mkuu unautani nn?chuo kibovu sana icho
hata mazingira yake mabovu.Kwann mkuu
Mazingira kama yapi hayoMkuu unautani nn?
CHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ( UDSM )chuo kibovu sana icho
chuo kibovu sana icho
Vp mkuu life likoje apa kwa ujumla make Mimi ni miongoni mwa waliochaguliwa apo duceWadau huu Uzi ni maalumu kwa wale waiochaguliwa Duce na kupeana hali halisi za huko na maisha ki ujumla
pole sana dogo, DUCE na UDSM ni mbalimbaliCHUO KIKUU CHA DAR ES SALAAM ( UDSM )
its colleges and constituents colleges are;
CoET
CoNAS
CoHU
UDBS
IKA
DUCE
SJMT
CoICT
MUCE
CoSS
CoAFT
UCC
etc..... kwhy sijajua point yako ipi hapo kuhusu chuo kibovu... ni UDSM amaa...!!? maana UDSM ni chuo na DUCE ni minority wa majority ya UDSM