Recent content by Diplomat Niwe

  1. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Waliofanya interview za CDOs lini majibu?

    Hiyo ni nyingine walifanyia DSM
  2. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Uteuzi: Dkt. Said Ally Mohamed ateuliwa Katibu Mkuu Mtendaji wa Baraza la Mitihani Nchini

    Hii ni kweli kabisa, samahani naomba uangalie mkeka wa watu walioitwa kazini TRA 27/02. Naona udini uko mahala pake kwa sasa
  3. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Utaratibu unaotakiwa kufuatwa kupata hatimiliki

    Asante sana, huu mchakato mzima unaweza kuchukua siku ngapi kukamilika?
  4. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Msaada mwenye Charger ya PC MacBook

    Kariakoo mwaka jana nilinunua 45k mpya kabisa japo sio Og ila inafanya kazi vizuri, Nenda Opposite na Mkombozi bank
  5. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Maambukizi mapya ya VVU yazidi kupungua nchini

    Data zenyewe ni upishi tu mwanzo mwisho na hizi NGOs zetu
  6. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Bachelor of public health

    Jaribu Uganda na Kenya vyuo ni vingi
  7. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Naomba ushauri kwenye hizo programs nilizochagua

    weka ufahulu wako tujue tunakushauri vipi!
  8. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Vyeti vyangu vina majina mawili, NIDA ina majina matatu

    Kama anatumia majina mawili mfano, ASHA JUMA (vyeti vyote) na NIDA inasoma ASHA JUMA RWEYEMAMU hii haina hata haja ya viapo vya sijui wizara ya ardhi.
  9. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Unadhani kwanini vijana wanapenda sana kuajiriwa serikalini kuliko kampuni binafsi?

    Hadi sasa matokeo ni Serikalini 10: binafsi 0
  10. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Medical Doctor - Re-Advertised at Maternity Africa

    waliopo wengi wanakosa huo uzoefu wa miaka 3
  11. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania MDH kimyaaa au mshawekana kindugu

    Ndo aongoze wanaomzidi elimu, uzoefu na uwezo wa kazi?
  12. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania MDH kimyaaa au mshawekana kindugu

    Hii ni kweli top management vimejaa vidada tena vingi vina diploma tu
  13. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Baraza la Madaktari Tanganyika (MCT ) jirekebisheni, mnakera sana

    Hizo CPD zao unafanya point hawaweki kwenye profile hata u-claim aje! na mara kibao unatuma email hawajibu, simu hawapokei!
  14. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Mshahara wa Askari wa Jeshi la uhamiaji Tanzania

    Pia usisahau TANAPA na Ngorongoro
  15. Diplomat Niwe

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya CO mwaka wa pili yashikiliwa NACTE Tanzania nzima

    Natamani kuchangia hii mada ila naona imejaa ushabiki sana! CO na MD lao ni moja, majukumu ya kazi yanafanana, Bodi ya kuwasimamia ni moja, kiufupi kazini huwezi kuona tofauti yao wakiwa kwenye majukumu yao ya kawaida! MD tofauti yake na CO ni Level ya Elimu na si vinginevyo! Kama ni issue ya...
Back
Top Bottom