MDH kimyaaa au mshawekana kindugu

Ukichaguliwa wewe hapo hakuna upendeleo ila ukiachwa tu; kuna upendeleo. Huo tunaita ubinafsi
Katika Interview za kuandika au practical siku zote mpaka unatoka kwenye chumba cha mtihani unakua ushajua kama kuna uwezekano wa kufaulu au la.

Ningekua sina uhakika wa kufaulu wala usingeniona kuja kuanzisha uzi hapa.
 
Katika Interview za kuandika au practical siku zote mpaka unatoka kwenye chumba cha mtihani unakua ushajua kama kuna uwezekano wa kufaulu au la.

Ningekua sina uhakika wa kufaulu wala usingeniona kuja kuanzisha uzi hapa.
Una uzoefu wakati unatafuta kazi! Unajifanya much know wewe
 
Kibongo bongo waajiri wengi ni waongo..unapiga interview au kutuma maombi wanakuambia subiri majibu ndani ya wiki mbili lakini majibu unaweza kupata baada hata ya mwezi huko..kwaio mkuu kuwa mvumilivu tu

Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli ndugu,nakumbuka tulifanya interview October ila tulikuja itwa december ya mwaka huo huo (miez miwil baadae),Kikubwa ili usiwe na stress its better ukawa na kijishughul chochote cha kukuingizia mia mbil mia tatu otherwise utaona kama wanakuchelewesha na utaanza kuwawazia mabaya
 
Poleni wadogo zangu mliopigia UDSM -CONAS. Kazi mnazoweza kupata mjini ni za wahindi kusambaza madawa hospitalini kwa mshahara wa sh 400k kwa mwezi. Huko kwenye research institutes sahauni kama hamna connection na MD au HR. We kuna wenzako kama ishirini wamejitolea mwaka mzima wanapiga kazi kwa posho tu halafu uje upewe wewe kisa umefaulu pepa la kukariri???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom