Olly Bless
Member
- May 23, 2023
- 63
- 77
Wewe ni mwenzangu....tuendelee kuomba Mungu.Bado nikiitwa nitatoa mrejesho Mkuu. Kwa Sasa nasubiria Huruma ya IT wiki hii.
Wewe ni mwenzangu....tuendelee kuomba Mungu.Bado nikiitwa nitatoa mrejesho Mkuu. Kwa Sasa nasubiria Huruma ya IT wiki hii.
Mungu atukumbuke nasisi tuwe kati ya 277mpaka leo tarehe 09.10.2023 kwenye nafasi 800 walizo tangaza, bado nafasi 277 za watu kuitwa kazini. kila lakheri mliofika oral, ila kama sio leo basi zamu yako ni kesho, kikubwa mtabaki kwenye data base.
Kila la kheriMungu atukumbuke nasisi tuwe kati ya 277
Kila la kheriWewe ni mwenzangu....tuendelee kuomba Mungu.
AmenMungu awapiganie wote mnaopambania nafasi za kazi
Kuna Pdf wapendwa kaangalieni majina. Na engeners Leo wamekumbukwa naona wameitwa wengi.Amen
Tayari ila hamna Bado ....vipi wewe? Naona majina 13 tu leoKuna Pdf wapendwa kaangalieni majina. Na engeners Leo wamekumbukwa naona wameitwa wengi.
Mie Bado, Tunaendelea kusubiri.Tayari ila hamna Bado ....vipi wewe? Naona majina 13 tu leo
Naona wameitwa ustawi wa jamii. Nikajiuliza ndio wamechukua kwenye Hawa hawa.tuofanya za CDOs au Kuna interview nyingine walifanya?Tayari ila hamna Bado ....vipi wewe? Naona majina 13 tu leo
Hiyo ni nyingine walifanyia DSMNaona wameitwa ustawi wa jamii. Nikajiuliza ndio wamechukua kwenye Hawa hawa.tuofanya za CDOs au Kuna interview nyingine walifanya?
Ahaa. SawaHiyo ni nyingine walifanyia DSM
Watakuwepo...ila wengine bado.mmh ni kama watu 800 wanakaribia kuishaWakuu vip pdf Leo hakun alielamba asali
Wamebak kama 97 hvWatakuwepo...ila wengine bado.mmh ni kama watu 800 wanakaribia kuisha
Kumbe wamebaki wachache hvo duuhWamebak kama 97 hv
Sidhani kama Kuna mtu ambaye hatokwenda kuripoti na ikitokea hawatozidi watanoTuendelee kuwa na subira.. Kuna gap filling pia ambao hawataripoti. Mungu akasimame nasi tu.
Mkataba na IT umekwisha tayari. Tuendelee kuomba kazi CDOs jamani. Japo inauma lakini ndio hatma imeamua.Sidhani kama Kuna mtu ambaye hatokwenda kuripoti na ikitokea hawatozidi watano
Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app