Recent content by dingihimself

  1. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Jambo zito kisiasa lakaribia litatikisa, ni ama ajiamulie mwenyewe au wenyewe waamue

    Aise!! Heshima yako Mkuu mambo yamekua mambo
  2. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Makamu wa Rais, Dkt. Emmanuel Nchimbi, ajiuzulu

    Aisee!
  3. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Angel Benard aolewa mara ya pili

    Dada mwenye bahati na ndoa ila sijui njemba zinakutaga nini yaani hadi yule afande kule usa aliachana nae.. mmh 🤐
  4. dingihimself

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati la vyombo tsh 100,000 vyombo, nipo Dar es salaam

    Nicheki 0657438581 WhatsApp mkuu tujadili vyema
  5. dingihimself

    JamiiForums Tanzania INAUZWA Nauza kabati la vyombo tsh 100,000 vyombo, nipo Dar es salaam

    Nauza kabati la vyombo tsh 100,000 vyombo, nipo Dar es salaam Kwa maelezo zaidi 0657438581
  6. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

  7. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Nimefika mwisho wa kufikiri.... Nifanyeje? Naomba msaada wako

    Upo Dar au mkoa gani?
  8. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Nauza sofa 3M- Upanga Dsm

    Kila lakheri. Hiyo ni bei ya kiwanja Chanika
  9. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Nafasi za kazi mbalimbali - 2026 Mega thread

    Aisee!
  10. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Dar: Risasi zinarindima Mbezi beach muda huu

    Kamanda hujalala saa Saba kasoro hii. Hao ni wazee wa ngasuma tu
  11. dingihimself

    JamiiForums Tanzania AI ilivyonifanya nipate mke mwema wa kuoa

    Ngoja kwanza bRaza hiyo laki unatumia kwa matumizi ya kula tu au. Maana nataka kujifunza hapa
  12. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Water Dispenser used

    Wandugu Water Dispenser nauza tsh 50,000 maongezi yapo kidogo. Inatoa maji baridi na maji moto Ina kasoro ndogo. koki moja ya kutolea maji imekatika na kile cha ndani ambacho kinatobolea dumu la maji kimekatika vyote unaweza weka Kwa mawasiliano 0657438581 ipo Kinyerezi
  13. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Mwenye uzoefu na Majiko ya Induction ya ECOA anipe uzoefu tafadhali!

    Mbona sufuria ngumu sana zile alafu uzuri wake hazishiki moto juu kwenye mshikio
  14. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusaga unga Dar

    Naam! Sasamtoa mada angekuwa Anaenda vijijini huko anachukua mzigo wa kutosha ni nafuu
  15. dingihimself

    JamiiForums Tanzania Biashara ya kusaga unga Dar

    Yeah! Kule wanalima sana kwa mwaka, misimu miwili. Kipindi hiki yanashuka sana
Back
Top Bottom